Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,080
- 27,508
Kummmk zakoKumbe hata wachawi wana majonzi?
asante chiefPole sana mkuu
Pole sana., inauma.Dah inatia uchungu mno, mama yangu alienda mapema sana nakumbuka nilikuwa youngster kichizi.
It was really unfair to me sababu pia sikuishi nae mda mrefu nakumbuka ilikuwa ni baada ya mid term ya std 3 tu. Ile likizo imekwisha tu nashangaa naambiwa jiandae na safari ya Dar usiende shule. Nafika mtaani dah nakuta watu kibao huku na huku mara bi mkubwa huyu hapa kwenye jeneza.
Moyo ulikufa ganzi mno kwa uchungu niliokuwa nao sikuweza hata kulia siku ile ila ndio siku ambayo niliona machozi ya mshua alililia sana. Tangu siku ile nilijua maisha yangu hayataweza kuwa sawa tena katika hii dunia baada ya kuona ndugu zangu wakubwa wakihuzunika na kulia kwa uchungu, mimi pekee ndio nilikuwa mziwanda kwa mama na hadi leo namkumbuka kwa upendo mkubwa aliokuwa akinionesha pamoja na ucheshi wake. Rest in Peace my mother siku moja naamini ntakuja kukuona tena.
Uchungu haukuishia hapo baada ya week mbili za kumzika mama nilimpoteza kaka yangu mwengine ambaye nae alikuwa ni kipenzi changu sana pamoja na mama yangu. Naamini alimfuata rafiki yake mama maana asingeweza kuishi bila yeye. Rip my lovely brother Yusuph alias "Makamba" maana alikufa kipindi mzee makamba akiwa ni mkuu wa mkoa wa Dar.
Mwaka 2001 utabaki kuwa na historia chungu sana kwenye maisha yangu yote hapa duniani. Uliondoka na ndugu wengi sana ninaowapenda kama pia ilivyotokea 2021.
Haaaaa Haaaaa 😂Kumbe hata wachawi wana majonzi?
Jibu swali nililouliza.Hivi wewe msimbe umerogwa?
Huu uzi umekutanisha watu wamepoteza wazazi tuko kufarijiana na kukumbushana kuwakumbuka wazazi wetu wakiwa hai wewe unaleta habari za ******* namna hii
Hebu jiheshimu
Sisi sio wachawiJibu swali nililouliza.
Wacha kufafuta huruma za kijinga.
Pole sana mkuuDah inatia uchungu mno, mama yangu alienda mapema sana nakumbuka nilikuwa youngster kichizi.
It was really unfair to me sababu pia sikuishi nae mda mrefu nakumbuka ilikuwa ni baada ya mid term ya std 3 tu. Ile likizo imekwisha tu nashangaa naambiwa jiandae na safari ya Dar usiende shule. Nafika mtaani dah nakuta watu kibao huku na huku mara bi mkubwa huyu hapa kwenye jeneza.
Moyo ulikufa ganzi mno kwa uchungu niliokuwa nao sikuweza hata kulia siku ile ila ndio siku ambayo niliona machozi ya mshua alililia sana. Tangu siku ile nilijua maisha yangu hayataweza kuwa sawa tena katika hii dunia baada ya kuona ndugu zangu wakubwa wakihuzunika na kulia kwa uchungu, mimi pekee ndio nilikuwa mziwanda kwa mama na hadi leo namkumbuka kwa upendo mkubwa aliokuwa akinionesha pamoja na ucheshi wake. Rest in Peace my mother siku moja naamini ntakuja kukuona tena.
Uchungu haukuishia hapo baada ya week mbili za kumzika mama nilimpoteza kaka yangu mwengine ambaye nae alikuwa ni kipenzi changu sana pamoja na mama yangu. Naamini alimfuata rafiki yake mama maana asingeweza kuishi bila yeye. Rip my lovely brother Yusuph alias "Makamba" maana alikufa kipindi mzee makamba akiwa ni mkuu wa mkoa wa Dar.
Mwaka 2001 utabaki kuwa na historia chungu sana kwenye maisha yangu yote hapa duniani. Uliondoka na ndugu wengi sana ninaowapenda kama pia ilivyotokea 2021.
Hivi wewe nwanaizaya una shida gani lakini?Kumbe hata wachawi wana majonzi?
Wewe ni mbwakoko ajuza asiyejitambuaJibu swali nililouliza.
Wacha kufafuta huruma za kijinga.
Wewe ni mbwakokoWengine wanatamba humu wao wachawi. Wao wenyewe wale nyama za mama zào halafu wajidai eti wana majonzi.
Wacheni unafik.
Basi ukiwa na mama yako duniani unaweza pita huu uzi.
Poleni mliopoteza Mama zenu. Acha tuwawakilishe kwa hawa mama tuliobaki nao.