Atampiga je wakati walishatengana kitambo kwa umalaya wa mwanaumme wanatunza tu heshima kwa umma.....angeongea mtu mgine ila sio m7 amedhalilisha sanaa wanawake, kazaa na makada wa chama chake NRM wengi akiwemo Winnie byanyima.....“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,
nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni wa Uganda
•
Vipi na wewe haujawahi hata kusukuma au kusukumwa tangu uwe kwenye uhusiano wako au haya mengine ya ndani tusikuingilie?[emoji28]View attachment 1381527
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipigo lazima akileta za kuleta“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,
nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni wa Uganda
•
Vipi na wewe haujawahi hata kusukuma au kusukumwa tangu uwe kwenye uhusiano wako au haya mengine ya ndani tusikuingilie?[emoji28]View attachment 1381527
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapigano ya ulimi ni perfect. I buy that“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,
nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni wa Uganda
•
Vipi na wewe haujawahi hata kusukuma au kusukumwa tangu uwe kwenye uhusiano wako au haya mengine ya ndani tusikuingilie?[emoji28]View attachment 1381527
Sent using Jamii Forums mobile app
poleHaya mafurushi hayawezi kuelewa, akili hawana wamebakiza mabavu tu.
[emoji1787][emoji1787] kofi moja lina default settingsInategemea ni kipigo cha aina gani, kama mangumi, hapana. Ila binafsi na recommend kofi moja tu, lenye uzito wa juu kiasi. Hii husaidia ku restore setting za mhusika.
NB. Isiwe kila mara, kinatumika endapo hakuna njia mbadala ya masikilizano.
Lakini njia bora zaidi, ni kukaa kimya, kimya cha busara.