mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Ndo anavoathibiwa mtu kisheria ya dini ya kiislamu na wale wakristo si wana njia zao za kuathibu?
serikali ya zanzibar ina dini?
shariah zimeanza kutumika lini zanzibar?
shariah zimeanza kutumika lini zanzibar?
bado swali langu halijapata jibu!