Kumpiga Mtu ni uhalifu kama Uhalifu Mwingine

Kumpiga Mtu ni uhalifu kama Uhalifu Mwingine

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,076
Baada ya vyombo vya usalama kulifumbia macho lile tukio la kwanza, sasa naona huu mtindo unashamiri, huu ni uhalifu kama ulivyo uhalifu mwinginge, ni uvunjifu wa sheria na haki za binadamu.
10544386_900705286622603_5751619800119275515_n.jpg
 
sio kosa letu;
Ni maelekezo/mafundisho ya imani yetu.
 
Wacha wapigane tena ikiwezekana wauane kabisa maana wanamtumikia Allah.
 
Lakini huo ndio utaratibu waliojiwekea Wazanzibar toka enzi hizo,Ukiwa kwenye ndege mwezi kama huu Lubani anapolikabiri anga la Unguja anawatangazia abiria wake.Tupo anga la Unguja mda si mrefu tutatua,Huu ni mwezi wa mtukufu wa Ramadhan hakurusiwi kula wala kunywa barabarani kwani kufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa utaratibu wa hapa
 
Hivi ikifika kwaresma wakristo nao wakianza utaratibu huu kariakoo patakalika kweli?
 
naona uerevu kwako ni mtihani! dini na sheria za nchi wapi na wapi, kama amevunja sheria si apelekwe mbele ya vyombo husika!!!
 
jamani nani kasema huyo anapigwa kwa sababu ya mfungo? huyo ni mwizi wamemkamata akiiba
 
Back
Top Bottom