😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂meseji ya TIGO wakikukumbusha kulipa deni ulilokopa
Wangu mna roho 7 kama za paka dadeki,
Pisi juzi kati namwambia tuonane akasema hawez saivi yuko amepata anae mpenda, nikamwambia hongera na asante.
Nakutana nae njiani baada ya week buyu, ananitext badae mbona nimemtenga nilimjibu staki unitie majaribu kwa wake za watu kwa maana na mm nisha pata anae nipenda,
Alishia kusema nilikuwa nakutania jmn sio kweli, na mm nikamwambia huwa sitanii mm nisha pata mwingine, ikawa end.
SawaKama user name sio halisi, kuna utakachosikia kuhusu mm kiwe halisi? Na kikiwa halisi utaamini?
Vizuri