Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,252
Huo muda so niende shamba nikalime
Huo muda so niende shamba nikalime
Utaongeza hata kipato🤣🤣Huo muda so niende shamba nikalime
Wewe ni wa Type hii ama ni Imajinisheni?.Hizi ni stage za form two mpaka six hapo. Ukichelewa sana basi chuo. Kwa wale ambao hawajasoma ni miaka 14-21 au 22 hivi.
Ukishakuwa matured muda utakumbuka kama hukujibiwa text kama uliandika ni saa umejitupa kitandani, wakati unajiuliza hivi mbona sijajibiwa usingizi unakupitia ikifika saa kumi unakurupuka na emails ambazo ulisahau kujibu jana. Circle continues.
Ukija shtuka huyo uliyekuwa unadhani unampenda anataka kuolewa huku akikulaumu you are so busy, huna time nae n. K unampa na mchango.
Kwenye safari safari zako unakutana na mtu type yako, busy like you, katika kujuana mnaamua mchukue likizo mfahamiane, mnafunga ndoa, familia inaanzishwa huku mishe mishe zikiendelea tena kama awali.
Kama user name sio halisi, kuna utakachosikia kuhusu mm kiwe halisi? Na kikiwa halisi utaamini?
Love is patient 😎Giving someone all your love is never an assurance that they love you back.Don't expect love in return..Just wait for it to grow in their heart.But if it doesn't,be content it grew on yours.
I wish I could, but hata niwe busy vipi kuna kamuda tu ntawaza mapenzi🤔Hizi ni stage za form two mpaka six hapo. Ukichelewa sana basi chuo. Kwa wale ambao hawajasoma ni miaka 14-21 au 22 hivi.
Ukishakuwa matured muda utakumbuka kama hukujibiwa text kama uliandika ni saa umejitupa kitandani, wakati unajiuliza hivi mbona sijajibiwa usingizi unakupitia ikifika saa kumi unakurupuka na emails ambazo ulisahau kujibu jana. Circle continues.
Ukija shtuka huyo uliyekuwa unadhani unampenda anataka kuolewa huku akikulaumu you are so busy, huna time nae n. K unampa na mchango.
Kwenye safari safari zako unakutana na mtu type yako, busy like you, katika kujuana mnaamua mchukue likizo mfahamiane, mnafunga ndoa, familia inaanzishwa huku mishe mishe zikiendelea tena kama awali.
Dailee😮😮😱 au?I wish I could, but hata niwe busy vipi kuna kamuda tu ntawaza mapenzi🤔
Yaan ww ndio uko kwenye mahusiano ambayo hujui yanahusiana na nn..
Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati utafikaI wish I could, but hata niwe busy vipi kuna kamuda tu ntawaza mapenzi🤔
NdioDailee😮😮😱 au?
Seems you're still a Chick,Aren't you?Ndio
😀😀😀may beSeems you're still a Chick,Aren't you?
why 'maybe'?😀😀😀may be
Huyu prince atakuwa wa saudi huyu 😂Hua nawaza niwaweke ufahamu, watambue kua wako wengi na lengo ni kuwatesa kwa zamu...niwaumize ili wapeleke salamu....nashangaa warembo wanavyongoja pete kwa hamuView attachment 1411259
It's Scars