We sema ushamzimia hukoHi there ππ
Kwa wakatoliki mzazi aaliyemsimamia mtoto ubatizo familia yeye na familia yake inakua imeungwnishwa na familia ya mtoto aliyemsimamia ubatizo..Baba au mama wa ubatizo anakua anamajukumu makubwa kama au zaidi ya mzazi halisi wa kumlea (Kwa mujibu wa kununi za kikanisa)
Hivyo basi,
Familia hizo mbili hazipaswi kuozeshana watoto wao..(?) Maana zinakua zimeunganishwa kiimani/kiroho na kua familia moja..Hio ni kwa mujibu wa sheria za kikatoliki ambazo mlei/Muumini lazima uzifuate.
Sasa upendo nao hauna heshima maana hauchagui pakuota (Love grows like weeds). Hivi ikitokea umempenda mtoto wa mtu aliyemsimamia ubatizo wa wadogo au ndugu zako au mtoto wa aliyekusamamia ubatiz inakuaje???
Kanisa linaweza waruhusu Kweli??
Nimewaza tu maana ukiwa maskini unakua na ndugu weeengi hadi kero!!!
Najua mtu ambaye siruhusiwi kumuoa ni yule ambaye tuna undugu wa damu tena wa karibu saana.Hi there [emoji112][emoji112]
Kwa wakatoliki mzazi aaliyemsimamia mtoto ubatizo familia yeye na familia yake inakua imeungwnishwa na familia ya mtoto aliyemsimamia ubatizo..Baba au mama wa ubatizo anakua anamajukumu makubwa kama au zaidi ya mzazi halisi wa kumlea (Kwa mujibu wa kununi za kikanisa)
Hivyo basi,
Familia hizo mbili hazipaswi kuozeshana watoto wao..(?) Maana zinakua zimeunganishwa kiimani/kiroho na kua familia moja..Hio ni kwa mujibu wa sheria za kikatoliki ambazo mlei/Muumini lazima uzifuate.
Sasa upendo nao hauna heshima maana hauchagui pakuota (Love grows like weeds). Hivi ikitokea umempenda mtoto wa mtu aliyemsimamia ubatizo wa wadogo au ndugu zako au mtoto wa aliyekusamamia ubatiz inakuaje???
Kanisa linaweza waruhusu Kweli??
Nimewaza tu maana ukiwa maskini unakua na ndugu weeengi hadi kero!!!
Mh weweWala, hata baba wa ubatizo simjui..
Biblia inasemaje..? Kuhusu hilo tupe mistariUkatoliki ni utii Usipoweza kutii basi You don't Qualify to be Catholic
Hakuna mstari unaokataza hilo kwenye biblia. Lakini RC inaongozwa na Sheria kumi za Mungu na sita za Kanisa zote hizo kumi zinavunjwa na kua moja ambayo ni Utii. Kwa kutumia andiko linalosema "Mtakachofunga duniani kwa jina langu na mbinguni kitafungwa vice versa is true"
Hivyo kumuoa huyo ni dhambi..?Hakuna mstari unaokataza hilo kwenye biblia. Lakini RC inaongozwa na Sheria kumi za Mungu na sita za Kanisa zote hizo kumi zinavunjwa na kua moja ambayo ni Utii. Kwa kutumia andiko linalosema "Mtakachofunga duniani kwa jina langu na mbinguni kitafungwa vice versa is true"
Ukishindwa kutii amri ambazo ninyi wenyewe mmejiwekea kama kanisa basi Sheria za Mungu hutaziweza maana huwezi kumtii Mungu usiyemuona wakatii humtii mwanadamu mwenzio.
Observe.Kwa kweli nimekua muumini wa kanisa katoliki lakini kipengele hiki sikuwahi kukisikia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kuhangaika na vitu viko wazi.It's not about me.
Nauliza maana mambo haya yapo kwenye jamii yanaweza kutokea kwa mtu yoyote yule. Je ikimtokea mtu uamuzi sahihi ni upi???
Since I'm not the victim
Basi Kama ni hivyo makatekista wa siku hizi Hawa lizangatii Hilo maana nimeshasimamia ubatizo Mara 7 hawakuwahi kuligusia Hilo.Observe.
Mara chache sana hua kinatajwa wakati wa ubatizo wa mtoto. (Kwenye mafundisho ya ubatizo kwa wazazi?)
Ila undugu utokanao na ubatizo hua unakolea kama undugu wa kweli.
Eg. Mwanamke aliyemsimamia bibi ubatizo mpaka leo watoto zake huitwa mjomba na baba zetu, Na baba zetu wanawaheshimu sana.
Eg2. Bibi alisimamia watoto fulani ubatizo wazazi wao mpaka sasa hawapo na wao washakua wamama wakubwa ila wanawaheshimu baba zetu kama kaka zao nasi tunawaita shangazi. Nilikua sijui chanzo cha undugu ndio nikaelezwa kua ni Ubatizo.
Eg 3. Rafiki angu baba yake alimsimamia mtoto wa rafiki yake Ubatizo yule mtoto alimchukua na kumsomesh huyu rafiki, siku zote naoana anamwita kaka na anakaa nae kumbe sio kaka wa damu.
Watu mnamoyo mimi mtu nikiona hata kafanana jina au sura au kitu falani na dada yangu sithubutu hata kumtamani.Hakuna kitu kinaitwa dada wa ubatizo. Dada ni yule aliezaliwa na mama yako tu. Hata baba yako akileta mtoto wa kike anaweza kuwa sio dada yako maana anaweza kuwa alisingiziwa mimba haikuwa yake.
Sheria imeandikwa wapi haifai kuozeshana watoto?Hi there ππ