ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,018
Nitamfanyia ili asiamue tu kuniacha.Hahahaha usimfanyie hivyo Mkuu espy.
Hukupaswa kubadili avatar.Mmmh! Huwezi mfanya mtu awe boya kwako aisee!!! Unaweza fanya mautundu yote na bado akacheat...
be real then he decidesUnawezaje kumfanya mwanaume apagawe kitandani? Kwa wale wazoefu. Ili ashindwe hata kucheat yani awe kama boya wako....
Yeah hapo kwenye kununa nuna mimi binafsi huwa nachukia mwanamke wa hivyo.Muhim,umuheshimu,usiwe mtu wa kununa nuna,kua mda wote mcheshi,kua mbunifu kuanzia chumban,usafi,upishi,jali familia yake,yaliyobaki ni bonus
Kila mwanaume anapenda mwanamke mcheshi ,bashasha mda wote ktk sura.Yeah hapo kwenye kununa nuna mimi binafsi huwa nachukia mwanamke wa hivyo.
Ushauri mzuri sana huu...Shogaangu wanaume hawaridhiki huna la kuwafanya utajiumiza bure bora waache tu,
wanaume tukiamua kukuacha tunaacha bila hata wakati wa kugegedwa ukakata viuno vizuri
tutauliza umejifunza wapi toka nenda huko huko walipokufundisha sikutaki
Nitembelee pm ntakupa mbinu zoote, tena atakuwa sawa na msukule wakoUnawezaje kumfanya mwanaume apagawe kitandani? Kwa wale wazoefu. Ili ashindwe hata kucheat yani awe kama boya wako....
Kabisa yaani....Kila mwanaume anapenda mwanamke mcheshi ,bashasha mda wote ktk sura.
Hata siku mwanamke akitokea kununa basi lazma mwanaume ashangae na atajigundua kwel kafanya kosa.
Kuliko kila siku kununa,mwisho mume anakuzoea hahaha anaona normal ukinuna ,usinune zotw anaona pouwar tu
Ha ha ha,zimefikaKabisa yaani....
Msalimie huyo mwenye bahati zake b'n
Unadhan atakuwa boya baada ya kufanya hayoMuheshimu na kumsikiliza baada ya hapo jitume kitandani usisahau ubunifu.
Fundi wa haya mambo nimekujaUnawezaje kumfanya mwanaume apagawe kitandani? Kwa wale wazoefu. Ili ashindwe hata kucheat yani awe kama boya wako....