Kumpagawisha mwanaume

Kumpagawisha mwanaume

Hhaha yan we unatak umpagawishe had awe boya, nadhan kwenye mahusiano yenu kutakuwa mambo meng mnapitia japo hujafunguka sana, nadhan unamaanisha ana k cheat.
Kaaa na Mumeo muyajenge wenyewe haknaga dawa
 
Kuwa Boya.... Zuzu.... Zezeta wa mapenzi labda ukamroge Dada. Limbwata litakusaidia. Otherwise mpende na muheshimu na wewe pia utambue wewe ni mke. Fanya majukumu yako kama mke. Atakuwa zezeta tu.
 
Sababu za kucheat au kuachana zinatofautiana. Hali kadhalika sababu za kuridhishana au kudumisha mapenzi nazo hazitafanana.

Ila hiyo ya kimfanya mume boya bado sijaisikia
 
Back
Top Bottom