Mla mbuzi hulipa ng'ombe... Unataka kulinganisha gharama ya mapenzi yenu na gharama ya simu.. I lost ma phone two weeks ago,, my woman akanipa yake then yeye akabaki na nokia ya tochi.. Tarehe 25 mwezi huu ni birthday ake nampa zawadi ya simu.. Nzuri kuliko aliyonipa yeye..ââ au na mm ningeanzisha uzi wangu... Acha hizooo mnunulie manzi ako simu,, tena mfanyie saplaaaizi...