msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
.........Ukweli ni kwamba Mwanamke ni kiumbe ambacho kihasili ni unpredicable,pia anabeba Kofia mbili, Ana huruma Sana na pia ni katili Sana.
....Ukiwa na Mzigo mgodo utachwekwa na kudharauliwa Sana, ukiwa na mzigo WA Haja pia kwao ni kashfa,
NB:Ndo maana wanaume nowadays wanaandaika Sana, Mara Mkuyati Mara Viagra Mara Puturuuuuu nk.
#Watch my Man, Hawa watu Hawajaumbwa kuridhika, hata ufanyaje mwisho wa siku Anakuona kawaida, Ili Hali wewe utakuwa unaumia Tu.
.....Mpende, mjali,mthamini vile Unavyoweza na jinsi umejaliwa.
Vinginevyo utaaribu AFYA yako Bure na Mwisho wa Siku Utaishia kubaya.
#DO A WORK AT UR CAPACITY
.....PERIOD