Kumkubali kikwete ni kukubali yafuatayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumkubali kikwete ni kukubali yafuatayo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Sep 15, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nieleze kwa ufupi mambo muhimu yafuatayo, ambayo kama taifa inabidi tuwe serious nayo,kipindi hiki si cha mzaha kama baadhi ya watu wanavyodhani; Dr. Slaa ameeleza vizuri sana kuhusu ahadi anazotoa na zote zinatekelezeka. Nakumbuka Katika uchaguzi wa kenya wapinzani walieleza kuhusu elimu ya bure, lakini chama kilichokuwa madarakani wakati ule KANU walipinga sana na kusema haiwezekani. Lakini Upinzani uliposhinda tuliona elimu kenya ikitolewa bure(sina uhakika mpaka level gani). Kumbuka sisi tuna resource nyingi zaidi ya kenya. Lakini nasikia kikwete anapinga ahadi za Dr. Slaa na kueleza watanzania kuwa ahadi hazitekelezeki. NAOMBA NIWAMBIE WATANZANIA WENZANGU
  Kumchagua/kumkubali kikwete kuwa Raisi wa jamuhuri ya muungano kwa mara nyingine ni kukubali yafuatayo:

  • Ufisadi uendelee kama kawaida,

  • Elimu bure mpaka form six hatuitaki

  • Katiba mpya si muhimu kwetu haitusaidii chochote.

  • Matumizi ya makubwa ya serikali ni sawa tu yaendelee kama kawaida
  Mtu mwenye akili timamu si dhani kama atakuwa tayari kuyakubali mambo hayo.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Natamani hii thread ingesomwa pia na wale ndugu zangu wa vijijini ambao wanaamini kuinyima kura CCM ni dhambi.
  Ambao wanaamini madaraka yakichukuliwa na chama kingine itatokea vita kama ile ya Rwanda miaka ya 90.
  Tatizo ni vijijini, huku mijini watu wanayaelewa madhara ya kumrudisha tena huyu muungwana.
   
 3. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuendelee kuorodhesha hapa:

  • Wawekezaji waendelee kuyalamba madini yetu kama watakavyo, kwa sababu ya mikataba ya kifisadi, inayoweka mbele maslahi ya wabu fulani wachache........
   
 4. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  • kuendelea kudanganywa katika mengi: eti kila mmoja atakuwa na maisha bora, jambo lililoshindikana kwa miaka yote zaidi ya 40!!
   
 5. Ndaki

  Ndaki Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  31.10.10 sidanganyiki ng'oooooooooooooooooo! Kama mgaya wa tucta
   
Loading...