kupanga haimaanishi huna nyumba au huwezi kujenga unaweza kuwa umehamisha biashara /kazi sehemu mbali na kwako mfano umejenga morogoro shughuli zako dar itabidi upange tuUnakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
Inshu sio kupanga, siamin mwenye nyumba anaweza kupanga mahali ambapo mwenye nyumba atamuomba amkopeshe milion 20??? .kupanga haimaanishi huna nyumba au huwezi kujenga unaweza kuwa umehamisha biashara /kazi sehemu mbali na kwako mfano umejenga morogoro shughuli zako dar itabidi upange tu
Unakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
MKUU MI MWENYEWE NIMESHANGAA
Unamkopesha Mil 20, Bado Umepanga!
Akili ni nywele.
Duniani bado kuna malofa ya akili. Eti 20 m yakumkopesha mtu unayo ilhali unakaa nyumba ya kupanga tena uswahilini maana huko ndiko wapangaji wanakokaa na wenye nyumba. Kama wewe huna laana ya wazazi wako basi utakua bwege wa kutupwa.
Ushauri wangu . Mkopeshe tu kesho na kesho kutwa atakubambikia ndoa ya mkeka na binti yake single mother
Na Wahindi wanaoishi National housing wamelogwa na nani? Hizi ni akili za kimaskini, kila mtu ana priorities zake.Mkuu mwenye nyumba kakuloga huyo. Haiwezekani una uwezo wa kukopesha m20 alafu bado unaishi kwake. Kuna walakini hapo
Una nyumba Bunju, mishe zako City center, ukipangisha nyumba yako na wewe kupanga sehemu ambayo ni easy accessible kwenda city center tatizo liko wapi?Watu mnao hukumu.....mnajuaje kama yeye hana nyumba ila tu ameamua tu kupanga.....!!!?
Mtu anaomba ushauri wa jambo lingine anashauriwa jambo lingine
Okay kumbe mleta mada ni mhindi, sorry sikujua kuwa ni raia wa kigeniNa Wahindi wanaoishi National housing wamelogwa na nani? Hizi ni akili za kimaskini, kila mtu ana priorities zake.
Dhamana iwe nyumba hiyo ukaayo!
Unakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
Andikishaneni kwa mwanasheria ili akizingua kielewekeJe mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
Okay kumbe mleta mada ni mhindi, sorry sikujua kuwa ni raia wa kigeni
Hii kitu kisheria hasa hapa kwetu Tz iko hivi..Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
Sasa wewe ukiwaona wanaolipa hiyo millioni 20 kama kodi ya miezi 6 kwenye apartment sijui utapatwa na kichaa kabisa?Yaan unauwezo wa kumuazima mtu 20m afu upo nyumba ya kupanga... Daah we unahitaj maombi kabsaa
Kaka umesema kweli nakubaliana naweWakati wengine wanakuponda mi naiona fursa hapo,
Mkopeshe na muandikiane kabisa,
Akija tena mpe tu kama unazo ila muandikishane umwambie kabisa familia yako inafahamu kua umempatia hela.
Kuja kushtuka hiyo nyumba unayokaa ishakua yako umeinunua kwa installments. Akijua kua familia yako inafahamu hatoweza/hatowaza kukudhuru ili kuua deni, maana hata watakaobakia wataliendeleza tu
Mkuu vipi mlilipana au?Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
I can't believe kwa kweliUnakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
We hata HujielewiSi unajua tena mambo ya pesa mzee lolote inaweza tokea.anataka kufanya biashara ya sukari kuweka stock na kuzungusha.mfano biashara imeenda kombo inakuwaje hapo?