Nimewaza kitu leo
Na nkaapia kua hiki kichwa kwa sasa kifikilie kijenga maendeleo yangu tu
Nmekuja kitambua hakuna kiumbe ambae hajieleww kama baadhi ya wadada aise!
Ukipata pesa lazma utakuja kutafuta mwanamke wa kutumia NAE.
Sawa pia
Aisee kiukweli hata mimi.Nimewaza kitu leo
Na nkaapia kua hiki kichwa kwa sasa kifikilie kijenga maendeleo yangu tu
Nmekuja kitambua hakuna kiumbe ambae hajieleww kama baadhi ya wadada aise!
Hivi umewahi kuishi na mwanamke anae lalamika mala kwa mala hujampa pesa fulani ??Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Tena hata asante kukuambia ni ngumuNimewaza kitu leo
Na nkaapia kua hiki kichwa kwa sasa kifikilie kijenga maendeleo yangu tu
Nmekuja kitambua hakuna kiumbe ambae hajieleww kama baadhi ya wadada aise!
Kwa mwanamme kukaa na kuanza kuwaza kuwa mke wake anachepuka/atachepuka ni ulofa,tafuta pesa,ni ngumu sana kumwelewa mwanamke unataka nini,kuna watu walishaonesha upendo wa dhati kwa wake zao mwisho wa siku walisalitiwa,huwezi kumwelewa mwanamke.kikubwa tafuta pesa ,akichepuka fukuza oa mwingineMwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Ukipewa mzigo piga show kali yan hakikisha mtoto kafika kibo na mawenziPesa + mikazo mikali.
Sio unapewa unagusa gusa
Aaah wap ...Hawa viumbe swala la kuchepuka kwao ni mtambuka yan halizuiliki ... Usijidanganye mkuuMwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Tena hata asante kukuambia ni ngumu
Weka link mkuuMkuu kuna chama chetu cha Umoja Wa Wanaume Bahili Tanzania (UWABATA) karibu sana utajifunza mengi huko.
Nitakuwekea link ya uzi wetu.