Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Hahahahahahahajanajajaj aiseeKuna jamaa yangu mguu wa kuku ulimwokoa mikononi mwa jambawazi!
Alilichungulia dirisha akalikunguta moja ya mguu likajidai kuanguka kumbe risaso haijalipata sawasawa,alivyotoka kuliangalia hamad akukutana nalo linamfuata huku mkononi lina kipande cha nondo linataka limchenjie.
Ndipo mguu wa kuku ukamwokoa baada ya kulikunguta nyingine kifuani, kikatoa mguno wa basi umenipata!
Kwani jamaa walipanga kumuua?Muulize Zacharia mguu wa kuku anaushukuru hadi kesho ulimuokoa sana
Wanabodi.
Wengi ambao wana mguu wa kuku wanapata shida nazo sana. Kuzitunza , kuzibeba na kuzimudu. Wengi wanagongwa wao na hizo machine zao. Hawana mafunzo, hawastahimili na wana misongo mingi ya mawazo.
Sijawahi kusikia kusikia mwenye bastola ameua mharibu kiufasaha. Never. Zinawaponza
Njoo uniibie, nikumwage ubongo..
Ndio ujue kama ni mzigo ama vipi