Kumi bora ya aina ya makundi ya WhatsApp Tanzania

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
AINA ZA MAGROUP YA WHATSPP TANZANIA

1.MAGROUP YA MAPENZI,NGONI NA XXX

Unakuta chartng zao ni kama za wenda wazimu,mara salam cjui mnakula mara tumelala mwingine atadakia salma unaniumiza moyo wangu,mara jingine linatyp baby nishafika chumbn,ukicheki kwingine limoja linadai chakula humohumo..

Sasa hizi asilimia kubwa huwa ni za mapenzi,zikifuatiwa michezo na mambo ya matendo ya falgha,nimechunguza member wa humo ni watu wazima tuu wakiambata na wahitimu wa vyuo na wanaendelea na masomo vyuoni....

2.GROUP ZA MICHEZO
Kwenye group za michezo sasa huko ndo watu wamekomaa hatari wanavyotoa hoja sasa utazani uongozi wa timu husika upo humo ndani,mtu analalamika balaa yaani utazani sasa yy pia ana ukarb au kawadhifa ka timu husika kumbe hata hatambuliki na timu liko mbaliii yaani sometime naona kama kuna DILI

3.GROUP ZA BIASHARA
Sasa ukija kwenye nyingine za Biashara izi kuna watz wanapigwa sijapata kuona,mtu anakuja na jina la ajabuajabu anakwambia ungana na biashara ya mtandao changia wenzio arufu10 upate milion kadhaa au dols kadhaa,utakuta mtu anaenda jiunga kifutacho ni kipigo na block juu,wakuu haya ndio mambo ya vichaa wa whatsapp...

4.GROUP ZA WATOTO WA MJINI
hizi group ambazo kuzubaazubaa humo naona watoto wa mjini hao hawa wao wanatoa ofa za vifurushi hewa za mitanda vichaa huwafata box huko kifuatacho ni kipigo cha pesa na block juu...nikizid kucheka na kuvunja mbavu nakutana na dp zenye sura nzr za kike hizi bwana zenyewe huwa hazopokei simu ni kuomba pesa tu na kukuahid kukuunga kwny group za milo ya afya.. .

5.GROUP ZA KUCHAT TUU KILA SIKU
hizi ni group kwa ajili ya kuchat tuu sasa usipochat unatolewa ukituma link ya group lolote hapo admn wa humo atakutoa fasta na kujoin kwny link uliyotuma nae kuja kutuma yake katika group lako....

6.GROUP LA MICHANGO YA HARUSI NA SHEREHE
Unaungwa katika group bila kujuaa badae unaulizwa utoe pledgee yakoo


7.GROUP LA MAOMBI NA MAOMBEZI
Chatting za humu ndani ni kuombeana kuzungumza mambo ya dini lakini mwisho wa siku mnatuma SADAKA mkusanyaji mkuu wa sadaka kwa wale ambao hawatoi sadaka wanatolewa katika group

8.GROUP ZA MARAFIKI WA KUSAIDIANA KATIKA SHIDA NA RAHA
Hawa ni marafiki ambao husaidiana katika shida na raha huheshimiana na kupenda ukipsta shida unasaidiwaaa


9.GROUP ZA SIASA
Humu ndani full mabishanoo ya vyama vya siasa kuanzia asubuhi hadi jioniiii

10.GROUP ZA TEAM DIAMOND AND ALI KIBA
huku ni full time kubishana kati ya diamond na ali kiba nani zaidiiiii

Haya endeleee kutajaa
 
La WAHENGA..,huko huwezi ona mambo ya kipuuzi puuzi.

Watu ukumbushana mambo ya nyakati zile,

Maduka ya Kaya,Enzi za Unga wa njano(Yanga).
Waliokuwa wanaenda Msondo au Nginde kipindi hicho..Dar International ya Marijani Rajabu au Bima Lee ,

Watu ukumbushana timu Kama Pan African, Cosmopolitan,Red Star( Nyota Nyekundu ya kina Chibichi,Rosta Ndunguru,Said Seif Mwakinyumbi ,zilizokuwa zinatoa upinzani kwa timu Kubwa na mambo kama hayo uwa burudani sana siku zinakimbia sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom