Kumfikisha kileleni mke (Wife) kila siku HAIWEZEKANI; labda mara moja moja lakini siyo kila siku NEVER

Upo sahihi kwa kiasi chake,
Nilikuwa Kabla sijaanza sex na mwanamke. nilikiwa natumia mwezi mzima kumuandaa.

kumuandaa ilikuwa Ina ambatana na mambo haya.

*itakuwa pamoja na kumsoma SAIKOLOJIA yake
*Kutomkwaza kwa lolote lile Ndani ya mwezi mzima
*Kuongea naye kwa upole na kumjali
*kuwa naye karibu na kumtoa hata maeneo tofauti ya Utulivu na ya ucheshi.
*Kusoma naye vitabu,kucheki muvi,kula naye kwa kulishana,kupika wote na kuosha,kufua kila kitu pamoja
*Kumletea zawadi,Nguo na maua+mapambo mbali mbali
*Kucheza pamoja
*Na mengineyo mki Ni Pm nitawaambia...

ilikuwa mwezi mzima nikimuandaa

siku ya show nilikuwa sina papara
nilikuwa na,mfungia sehemu tutashinda humo wiki nzima pasipo kutoka nje Wala kuwasiliana na watu
(it's like Eden).

humo tutashinda tukiwa watupu,na c muda wote tutakuwa tuna sex...haha sometimes tulikuwa tunataniana na ucheshi Mwingi,kucheza na kupigana ki mahaba etc
Hapo kidume nilikuwa Kabla Sija fanya kitu Basi atakuwa kashapizi zaidi ya Mara 1000..
Yule mwanamke alikuwa ana enjoy sanaa..
ilikuwa tunafanya wiki nzima ya show.
baada ya hapo,tunaachana miezi mi 3 au 2 bila kugusana zaidi ya ku, dendeka TU
Lengo ilikuwa Ni ku recover energy ambazo tulipoteza,coz ya mikito ya non stop 24/7


Too sadly Yule mwanamke,Nilipotezana Naye kwa njia ya kutatanisha Hadi Leo hii yapita miaka mwak 1 Sasa.
Nadhani mahali popote alipo atakuwa ana nikumbuka Sana
Now napumzika,Kabla sijarudi kwa mwanamke mwingine Tena

Wanaume wenzangu,wanadhani kufanya mapenzi kila siku au week Ni sifa
hahaha na wakati huo ki,Moja chalii pasipo kumridhisha mwezi wake.

Mapenzi Ni zaidi ya kungonoka, Sex Ni kipande TU katika mapenzi
mwanamke unamridhisha kwanza kwenye matendo na kumuandaa then ukienda naye Chumbani hutopata shida.yani wewe utakuwa una slide TU

nyie acheni,Tena mkiwa mnaandaana unaweza piga show kuanzia SAA 1 asubuhi Hadi SAA 7 usimwage hata kidogo ila yeye akabaki ku,fika juuuuuuu.

Ushauri wangu
Muwe mnatenga wiki maalumu la kungonoka na wenza wenu,na siku zinginezo tafuteni Nguvu Huku mkiwa mnaandaana na kutafuta pesa.

mkifanya kila siku mtasababisha wear and tear.




Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi mzima unamuandaa mtu kuliwa? Hata shamba haliandaliwi mda mrefu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah we una tatizo la nguvu za kiume sio bure.

Kumfikisha mwanamke hakuhitaji hayo mambo yote uwe umeyatimiza. Mambo ya luku, gas, kodi, yanahusiana vp na kumridhisha mwanamke?

Mapenzi ni hisia, km wote mna hisia wakati wa tendo basi mnafika kileleni pasipo shaka yyte hata muwe na stress vp.

Kama hamna hisia hata muwe na raha wala hamna stress zozote hamfikishani vileleni ng'ooo.
mkuu inaonekana bado unakaa nyumbani au haujaoa na huna majukumu

hata uwe na genye vipi na hisia rundo rudi nyumbani ukute gesi imeisha, luku zimebaki unit 2, dogo karudi shule anadaiwa ada na school bus, friji jeupe lina maji ya kunywa tu, jikoni kuna unga na mchele tu mboga hakuna na hapo huna hata kumi mfukoni benki umebakiwa na 10K ya kishika uchumba, yaani hata kudinda huwezi hako kajamaa katanywea kama umetoka mtoni kuoga.
 
Kukojoza daaah!!
Haka j
Kadada kamechanganyikiwa wallah!mara ya mwisho nakakojozo kalipiga kelele ukunga kabisa "unanifanya nini? nitamwambia mama" Maji yanaruka tu chaaaaaaaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kama unadaiwa kodi ya nyumba afu ela huna kufika kilelen ni kazi ngumu mno ila hayo mengine sina hakika nayo
 
Hivi wapo kweli au kujitutumua tu?
Wapo, tena sana tu. Kuna dada aliwahi kuniambia ndoa inaelekea kumshinda, jamaa kila wakipumzika yeye anataka tu, hadi kinawaka moto.

Ninapoandika leo hii ndoa haipo, though sijui sababu za wao kutemana.
 
Halafu angalizo wakuu kama hujui saini za kufika ukilele wa mkeo ni zipi?? basi otherwise utafanyiwa za kuigiza ujisifie kuwa unamfikisha kumbe walaa
 
kuwa mwanaume raha sana........wengine tuna mikataba bunifu na wake zetu......kila siku ambayo simba/ liverpool wakishinda kunakuwa na ziada ya kumburudisha wife......hilo analijua na analipenda na linamfurahisha.....
na je wanawake / wake zetu wanasemaje........
 
Back
Top Bottom