Kumfikisha kileleni mke (Wife) kila siku HAIWEZEKANI; labda mara moja moja lakini siyo kila siku NEVER


D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
4,119
Points
2,000
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
4,119 2,000
Kumekuwepo na promotion nyingi sana kunadi dawa za nguvu za kiume;

Ukweli ni kwamba hili tatizo siyo kubwa kama jamii inavyokaririshwa; wanaume tupo fit kitandani kwa zaidi ya asilimia 95% ukiachilia mbali wale machoko.
kwanza ifahamike kwamba ziko siku chache maalum ambazo mwanamke ndizo siku nzuri za kumwingilia tofauti na zile za siku zake!

Tatizo la nguvu za kiume linachangiwa na kulazimisha kufanya mapenzi kila siku, huwezi kumlidhisha mkeo (wife) kila siku haiwezekani labda awe bado MPYA ama katoka safari siku hiyo vinginevyo haiwezekani kwasababu; Lile tendo la kumfikisha mkeo kileleni linajumuisha mambo mengi sana ambayo kwa kila siku mwanaume mtaftaji huwezi kuyatimiza, Ili tendo lifanikiwe kwa 100% nilazima;
 • Takribani saa 3 kabla ya tendo wote muwe na lengo la kujamiiana bdae! (mnaweza anza kuchati mkiwa hata bado kazini kuandaana)
 • Mmoja wenu asiwe kagombana na mtu masaa 8 kabla ya tendo.
 • Muwe mmekula vizuri nusu saa kabla ya tendo
 • Mwanamke asiwe na mæzïVuzi marefu
 • Usiwe unadaiwa kodi ya nyumba
 • Gari unayotumia kila siku iwe nzima
 • usiwe umeandikiwa notification na traffic kwa siku hiyo
 • Tanesco wasikate Umeme dakika 20 kabla ya tendo.
 • mitungi ya gas na chakula kiwepo cha kutosha
 • Kitanda kiwe kimetandikwa vizuri hata kubadilishwa uelekeo.
 • Uwe umemuahidi zawadi au offer yoyote mkeo siku hiyo
 • Usiwe umetizama rangi inayokukera au kusikiliza Chanel usiyoipenda saa moja kabla ya tendo n.k
KUTIMIZA HAYO YOTE KILA SIKU LABDA MJIFUNGIE NDANI KAMA HONEYMOON

Hata ma-bachela huwa wanamzuka wa tendo kwa demu ndani ya wiki moja tu baada ya hapo hutafta kila mbinu ya kumuondoa!!

NDANI YA NDOA KUMFIKISHA KILELENI MWANAMKE KILA SIKU SIYO RAHISI HATA KAMA UNA UUME MKUBWA KAMA KOMBEO
 
kulyunga

kulyunga

Senior Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
186
Points
250
kulyunga

kulyunga

Senior Member
Joined Oct 19, 2011
186 250
Nikiwa kama mwanamke tena alie kwenye ndoa nakubaliana na mtoa mada kwa baadhi na baadhi sikubaliani. Ni kweli kwa mwanamke kufika kileleni kiiiila cku sio rahis mana hisia zetu huwa ziko mbali kidogo na pia tendo kwetu ni kitu tunakinai upesi kama una mwanaume anaetaka mara kwa mara atakukinaisha na utakuwa unafanya kumridhisha tu na sio kuinjoi unless asafiri arud, na pia changamoto za maisha unatoka kazn jikoni kuna kusubiri, mara watoto hv hapo bado madudu ya housegirl, lakn pia mkiwa na interval labda mna sex kila baada ya siku 3 au 4 mwanamke kufika inawezekana lakn sio kama hv alivyosema mtoa mada kwamba ili mwanamke aridhishwe kusiwe na vitu alivyoorodhesha hapo juu duh haiko kiuhalisia mana maisha yetu yamezungukwa na hizo changamoto azikwepeki cha muhimu upendo na umoja tu kwenye ndoa. Mkipendana umoja wenu ndo faraja yenu through anything that life may bring
Nadhani hii comment ilitakiwa iwe ya kufunga huu mjadala Waungwana, ni ukweli usio na shaka kwamba shughuli hii Muhimu inahitaji uwe na msawazo ulio angalau na uwiano sawa kati ya akili, hisia, mwili na saikolojia ya wafanyaji wa shughuli husika.

Msawazo huu wa akili, hisia, mwili na saikolojia huweza "kutingishwa" kiurahisi sana na kuharibu msawazo wake kirahisi sana kwa mambo mengi sana ikiwamo wasiwasi utakaosababishwa na jambo lolote lile iwe unawaza kodi, hujakula vizuri, mmenuniana na mwenzi wako, sijui gari lako ni bovu, sijui mlikorofishana na mfanyakazi mwenzio na kadhalika.

Pia kuna changamoto ya mazingira ya uwanja unaotumika katika kufanya shughuli pendwa na kibaya zaidi huwa ni mazoea kati ya wenza ambayo huua ule "mzuka" wa shughuli kiujumla na kujikuta kila mtu akifanya tu alimradi atimizie wajibu wake. Hapa huwa ni ngumu sana kwa wanawake kufika hitimisho la shughuli, Aghalabu wanaume hufikia hapo kutokana na maumbile yao ya kibaiolojia kuwawezesha kufika huko kiurahisi zaidi.

Naambatanisha na kitabu kinachoitwa "HOW SEX WORKS" kimeandikwa kwa lugha ya kimombo kwa anayeweza kukisoma kina elimu ya kutosha sana kuhusu hii shughuli katika utofauti wa mwanaume na mwanamke kimaumbile.
 

Attachments:

Spirit

Spirit

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
465
Points
500
Spirit

Spirit

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
465 500
Mmmmh kilele nakifika kila siku nyumbani kwangu kila nikikonki nafika kabisa bila hiyana na mimi mume wangu huwa haniachii kwenye 18 mpaka ahakikishe kilele cha mwisho ndio ananiacha hizi zingine jf ni propaganda
 
Spirit

Spirit

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
465
Points
500
Spirit

Spirit

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
465 500
Aisee kumbe wengine tuna neema tunapata vilele vyote kwa waume zetu kibo, mawenzi na shira napata 😁😁😁 kila ninapoingia kwenye 18
 
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Messages
9,697
Points
2,000
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined May 26, 2017
9,697 2,000
K

kimwerijcb

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Messages
237
Points
250
K

kimwerijcb

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2018
237 250
Afu nimeuliza hakuna hata aliyenijibu huko kileleni wakifika wadada wanakuwaje na je utajua vipi kama wamefika?
Si wake wala waume waliojitoa kimaso maso kujibu kwa maana kwamba tunapigwa kamba tu hapa
Wako tofauti,mimi nnammoja tu, mama njerekera wangu ,akifika najua kabisa japo sio kila siku,ila kuna matendo hufanyika ndani ya kiungo husika,ambayo yaonekana hawezi kuya kontroo,na huchukuwa muda flani kuisha ,ikipita hiyo hali ukimwambia ayarejee hawezi kuyafanya kwa ufani kama hapo awali,ila nawe lazima mda huo uongeze ushilikiano vinginevo utauwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prisoner of hope

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
2,106
Points
2,000
Prisoner of hope

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
2,106 2,000
Note:

Hata wale wanaolia lia kwamba, hawana nguvu zetu zileeeh. Walianza hivyo hivyo...so we endelea mzee, naimani unachokitafuta utakipata so soon.

"....tena ukiona vipi, toa kabisa na tangazo la kuomba usaidiwe....sisi tutaitikia wito tu".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
891
Points
500
Age
39
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
891 500
Mmmmh kilele nakifika kila siku nyumbani kwangu kila nikikonki nafika kabisa bila hiyana na mimi mume wangu huwa haniachii kwenye 18 mpaka ahakikishe kilele cha mwisho ndio ananiacha hizi zingine jf ni propaganda
Ukifika huko unakuwaje kuwaje maana haya mambo sijayaelewa kabisa naomba msaada wako
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
891
Points
500
Age
39
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
891 500
Wako tofauti,mimi nnammoja tu, mama njerekera wangu ,akifika najua kabisa japo sio kila siku,ila kuna matendo hufanyika ndani ya kiungo husika,ambayo yaonekana hawezi kuya kontroo,na huchukuwa muda flani kuisha ,ikipita hiyo hali ukimwambia ayarejee hawezi kuyafanya kwa ufani kama hapo awali,ila nawe lazima mda huo uongeze ushilikiano vinginevo utauwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujafafanua je anakata mauno?
Anakaka Maa au anajamba?
Kuwa muwazi ili nasi tupate MA experience
 
Mama Mzungu

Mama Mzungu

Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
29
Points
75
Age
31
Mama Mzungu

Mama Mzungu

Member
Joined Jun 20, 2016
29 75
Ni kweli mkuu kwamba kumfikisha kileleni kila siku inaweza ikawa ngumu.
Ila kumfikisha katika zile siku mnazofanya mapenzi inawezekana siku zote mnazofanya mapenzi ukamfikisha.

Ila kama ulivyosema huwezi kufanya mapenzi kila siku aisee.mwanamke akikojozwa vizurii hawezi tamani kila siku kwa sababu unakuwa umekatia hamu yake.

Sio umemkojoza aasubuhi mchana ukataka tena jioni ukataka tena na kesho tena au kila siku wewe kazi yako ni hiyoo,hapo hhuwezi mkuu.

Wanawake uzuri wao katika tendo hawana reflactory period yani unaweza ukawaunganishia hata goli tatu bila kupumzika.ila wanaume wengi kimaumbile lazima wapumzike dk kaadhaa nndo waendelee na goli linginee.
Sasa ubaya wa wanawake wengi sasa si hawana ile reflactory period basi wakishafanya mapenzi wakakojozwa uzurii basi huchukua muda mrefu sana mpaka aje kutamani mwenyewe lile tendoo.

Ila wanaume tuna reflactory periodi kubwa lakini baada ya kumsliza tendo huwa tunakamatwa na hamu mara kwa mara.

Ila inawezekana kabisa mwanamke ukamtia nyege mpaka akakubali yaani unamuanzishia wewee kumchokoza mpaka anakuwa anataka kutiwer.
Na hiyo ndo kitu inaitwa romantic sasa.
Yaani kama unataka ufanye naye kila baada ya siku moja basi hakikisha unakuwa romantic sana na atalainika tuu.uwe unamtia mshawasha kila siku.uwe mchokozi mchokozi mkuu sio wewe siku ambayo UNATAKA KUMUINGILIA NDO JNAIGIZA UROMANTIC utafeli broo.lazima iwe ndo tabia yako hiyo.

Ukiwa mkali mkali,uafande uafande,amri amri chumbani mkuu mwanamke unampotezea stim kabisaaaa,wanawake ni watu wakuenziwa sana japo ni vigumu ila yunaweza tukifanyia kazi.

Wanawake uwe na ubabe 10% na upole 90% yaani usiwe fofofo kabisa,atahisi humpendi,lazima k[na mambo unakaza kidogo,hiyo inaongexa sana mapenzi kwake kuona kwamba anaonewa wivu.

Ila ukiwaza sana kumfikisha kileleni unaweza kupunguza uwezo wako kitandani...

Neno langu sio sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said
 
Monseur

Monseur

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2016
Messages
359
Points
250
Age
47
Monseur

Monseur

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2016
359 250
Wa kwangu namfikisha kileleni mara mbili hadi 3 kila tunaposex! Ndio maana Ana wivu na Mimi balaaa
 
P

Patroman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Messages
292
Points
500
P

Patroman

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2018
292 500
Binadamu tunatofautiana katika hisia za mapenzi ..wengine hata ukimshika chuchu tu ana pee. Wengine mpaka umsaidie kufanya clitors masaji. Kwa kweli mapenzi raha sana.
 
M

MTOCHORO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Messages
2,558
Points
2,000
Age
37
M

MTOCHORO

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2016
2,558 2,000
Tarehe nzuri za kumfikisha mwanamke kileleni ni 23 hadi 30 kila mwezi'.
Kipindi hiki K zinakuwaga na kiwango kizuri cha joto ridi na mapigo ya moyo huwa ni wastani hadi chini ya wastani.
Hizo tarehe za marejesho Vicoba kabisa hizo balaa hazifai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boniuso

boniuso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
283
Points
250
Age
25
boniuso

boniuso

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
283 250
Daaaah we una tatizo la nguvu za kiume sio bure.

Kumfikisha mwanamke hakuhitaji hayo mambo yote uwe umeyatimiza. Mambo ya luku, gas, kodi, yanahusiana vp na kumridhisha mwanamke?

Mapenzi ni hisia, km wote mna hisia wakati wa tendo basi mnafika kileleni pasipo shaka yyte hata muwe na stress vp.

Kama hamna hisia hata muwe na raha wala hamna stress zozote hamfikishani vileleni ng'ooo.
Sasa hisia zitatoka wap ikiwa unadaiwa madem kibao!!! Jamaa kaongea ukweli japo kagusa mpk vitu minor sana. KIFUPI ILI MWANAMKE AFIKE KILELEN NI LAZIMA AWE KTK AFYA BORA YA AKILI HASA SAIKOLOJIA YAKE, ndioman hayo yote jamaa kasema lazim yaseto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,746
Points
2,000
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,746 2,000
hahahaha sawa.haina tabu mkuu.

Hapo, nikajua Kuwa sex ni zaidi ya kutiana au kuingiza na kutoa dushe.

na nilijifunza kufika orgams kwa mwanamke inakuaje.

wale Wana weza kufanya ule Utamu,udumu hata kwa dk 10+uwe unasikilizia Utamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sa c ungetoa darasa kdg
 

Forum statistics

Threads 1,283,436
Members 493,679
Posts 30,789,439
Top