JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,751
- 2,749
Salaam wana JF
Katika kujikwamua na maisha, nilijitutumua nikaanzisha duka la nguo, ila wiki iliyopita wezi wakavunja na kubeba kila kitu. Nimeenda pilisi kuripoti tukio na hadi sasa hakuna kilichoeleweka katika uchunguzi wao.kuna mtu kaniambia hawa wenzetu wa mambo ya ulozi wanaweza kunisaidia kwa namna nzuri, jamani nisaidieni mimi nataka vitu vyangu virudi tu ctaki kudhuru mtu maana nateseka. Huwa naona wataaram humu wakitoa mada ya haya mambo ya ulozi ndio maana nimekuja kuomba msaada, watu kama MziziMkavu, Mshana jr na Rakims, na hata wana Jf wote ambao walishawahi kupatwa na jambo kama hili na kuweza kulisuluhisha kwa namna nzuri yoyote nisaidieni Wakuu.

Last edited by a moderator: