Miaka hiyo tulikuwa tunaviita Beto, yaani vilikuwa siyo poa kabisa! RIP Bob White!Ni kweli kabisa mojawapo ni shule ya Pugu sekondar enzi hizo sijui sasa hivi.
Hahah nadhani kwa sasa wamekarabati!Malangali ipo Mufindi huko,ni balaa
Yes,Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!
Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.
Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
MaputoUmbwe mtisafi balaa, enzi nasoma
Kitambo mkuuu tulikua Tunaita Beto Yani Beto kule chini mapinduzi lazima uvus nguo ubaki na boxer tuNi kweli kabisa mojawapo ni shule ya Pugu sekondar enzi hizo sijui sasa hivi.
Zipo. Hata shule niliyosoma ni hivyo. Ni hivi: vyoo ni shimo kubwa la mstatili, lililochimbwa likiwa na urefu na uapana wa eg mita 12 kwa 4. Halafu wanasakafia na kuacha matundu 24, kumi na mbili upande mmoja na 12 upande mwingine. Matundu yakajengewa vyumba vidogo vidogo vya bati, n juu paa la bati. Sasa mchana jua linapokuwa kali sana, kile kinyesi kinapata moto mkuu, na kuchemka kama malighafi ya kupikia gongo. Ikifika jioni sasa nenda uingie chooni, ufanye shughuli zako, huku ule mvuke wa hatari kabisa ukikupuliza. Halafu toka ingia ndani usikie shughuli. Kila mtu anakukimbia kwa ile pafyumu. NB: Enzi hizo ukisoma shule kama hii mtaani unaonekane wewe kweli ndiyo umesoma shule ya kikomandoo na ni mjanja. Ila tulikuwa hatuvui nguo ki-ukweli japo mtaani tulikuwa tunaongeza chumvi ile kunogesha story.Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!
Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.
Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
Pugu secondary school ndio kinara vizazi na vizazi 🤣🤣🤣Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!
Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.
Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
Mahasimu zetu miaka hyo....Umbwe mtisafi balaa, enzi nasoma
Utakuwa lyamungo wewe😂Mahasimu zetu miaka hyo....
Mm sijasema nachojua dadaz za mawenzi, weru weru, Masama, Machame tuligombania sanaUtakuwa lyamungo wewe😂
Dah, those days🤝Mm sijasema nachojua dadaz za mawenzi, weru weru, Masama, Machame tuligombania sana