Kumekuchaaaa Sikonge

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Kwa wale msioifahamu Sikonge ni moja ya wilaya ya mkoa wa Tabora iliyopo barabara ya kuelekea mikoa ya Mbeya na Rukwa,jimbo hili la uchaguzi liko chini ya mbunge wa magamba Said Nkumba na linaongoza kwa umaskini

Leo ni siku ambayo raisi wetu wa rohoni,Dr.wa ukweli,P.Slaa atakuwa hapa na tayari ameshafika na ameelekea kwenye ufunguzi rasmi wa kampeni za kumnadi diwani mtarajiwa wa kata ya Kisanga ambapo mara baada ya kufungua rasmi na kutoa salamu kidogo atarudi hapa Sikonge mjini ambapo kuanzia mchana atafanya mkutano bab kubwa katika viwanja vya TASAF

Rais wetu anaongozwa na mbunge wa Meatu Meshack Opulukwa ambaye yuko hapa tokea juzi na kwa kweli hamasa ni kubwa miongoni mwa vijana kiasi kwamba yale matumaini yaliyopotea siku nyingi yanaonekana kurejea upya

Ndugu zangu ntaendelea kuwajuza kadiri mda utakavyokuwa unawadia..


OBLIGADO..PIPOOOOOZ!
 
haya leta updates usisahau na habari za chama tawala maana humu huwa inakuwa shida kidogo maana hakuna mtu wa ccm waukweli humu wote ni cdm tu..
 
.............Tukikaa kimya wanasema ni vyama vya msimu,tukipiga kazi wanasema tunavunja amani....
 
Jidanganye na sifa na mapambio ya kila aina. Rais wa watanzania anajulikana. Hao wengine ni marais wa wanaharakati zisizo na tija.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom