Kumekucha : Waziri kivuli wa Mambo ya ndani Mh Lema kumtolea uvivu Kangi Lugola

Waziri hajaongeza chochote, ameongea kile anacho kifahamu kama waziri sasa Lema kwakua anashaka na kauli ya Waziri aje aweke hadharani anayo fahamu ii itasaidia wananchi kuufahamu ukweli. Wakati serikali ilikaa kimya kilamtu alizungumza lake sasa serikali imezungumza watu wameona tofauti kubwa ya jambo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika watu wameona tofaut kati ya kauli ya waziri na RPC wa Dodoma kuhusiana na cctv cameras,watu wameona tofaut kati ya balozi wa Tanzania nchini ujerumani na igp siro juu ya uchunguzi kuendelea na mwingine anasema jalada limefungwa.ni kweli kabisa watanzania wataona ukweli wa jambo hili ni upi.uko sahihi mkuu
 
Mnara wa Babeli
 
Mara hajaongea chochote, Mara ameongea anachokifahamu, afu hapohapo unataka lema aongee anachofahamu, na yeye si atakuwa hajaongea chochote pia?!
Waziri hajaongeza chochote, ameongea kile anacho kifahamu kama waziri sasa Lema kwakua anashaka na kauli ya Waziri aje aweke hadharani anayo fahamu ii itasaidia wananchi kuufahamu ukweli. Wakati serikali ilikaa kimya kilamtu alizungumza lake sasa serikali imezungumza watu wameona tofauti kubwa ya jambo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri hajaongeza chochote, ameongea kile anacho kifahamu kama waziri sasa Lema kwakua anashaka na kauli ya Waziri aje aweke hadharani anayo fahamu ii itasaidia wananchi kuufahamu ukweli. Wakati serikali ilikaa kimya kilamtu alizungumza lake sasa serikali imezungumza watu wameona tofauti kubwa ya jambo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo imezungumza hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom