Kumekucha vita ya biashara ya madawa ya kulevya

Kumekucha vita ya biashara ya madawa ya kulevya

Jitahidi kuangalia TV taarifa za habari. Na kwa nini niweke picha za watu mazikoni bila kibali chao! Tii sheria bila shurti.
hamna kitu kama hicho...ni habari za kusadikika. hakuna ushahidi wowote mtu kufa , au mateja walolazwa hospitali au kuchanganyikiwa mitaani. habari za kuokoteza...hakuna ukweli
 
hamna kitu kama hicho...ni habari za kusadikika. hakuna ushahidi wowote mtu kufa , au mateja walolazwa hospitali au kuchanganyikiwa mitaani. habari za kuokoteza...hakuna ukweli
Nadhani una asili ya ubishi kama hao jamaa. Muda si mrefu Channel Ten imetoa taarifa ya unachokibisha.

Du, amini wale unaowaamini kwa mbwembwe!
 
Wapewe hao ambao walishawashwa magari wasife na arost wabembee kituoni
 
Duh! Hataree ngada imeadimika na kiroba ncho kimeharamishwa bora hata valiam lakini nazo hapewi tena bila kibali cha daktark. [emoji24] [emoji24]
 
Nadhani una asili ya ubishi kama hao jamaa. Muda si mrefu Channel Ten imetoa taarifa ya unachokibisha.

Du, amini wale unaowaamini kwa mbwembwe!
sio kila habari ni habari.nyengine ni press release aU PR ya fulani...tupo huku mitaani , vijweni hatujaona tatizo hilo..hivi TID naye anafanya nini ? anapata wa kubwia au yupo taaban mitaani
 
Duh! Hataree ngada imeadimika na kiroba ncho kimeharamishwa bora hata valiam lakini nazo hapewi tena bila kibali cha daktark. [emoji24] [emoji24]
Watengeneza gongo nao wajiandae na msako
 
Watumiaji unga ambao ni addicted ukiwakosesha hizo dawa ndani ya wiki bila kuwapa tiba ya methodin wanakufa
 
The war against drugs impedes Darwinian evolution.

1. Drugs are bad and used excessively - which in most cases they do due to their addictive nature- kills.
2. Feeble minded people with wanton disregard will disregard this fact and engage in imbibing drugs anyway.
3. Given time and access to drugs, these feeble minded individuals will die and be out of the gene pool.
4. Trying to stop them doing what they want will increase their supply in the gene pool.
5. Therefore drugs are good and should be legalized for all people of majority age, to use at discretion, just as alcohol is. People should be punished for what they do after taking drugs, just as they are punished for what they do after drinking, not for taking drugs.
 
Makonda kasaidia hiyo bidhaa kuuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko mwanzo, kwahiyo watu wanapiga hela ndefu sasa hivi.

the higher the risk, higher returns.
 
Back
Top Bottom