Kumekucha vita ya biashara ya madawa ya kulevya

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Kuna tetesi watumiaji wa madawa ya kulevya wanajisalimisha wenyewe kuomba hizo dawa na wengine wamepoteza maisha.

Vita imenoga sasa kwa ukosefu wa hayo madawa. Wabanwe hao wanaojitokeza kutaja wanalikokuwa wakizipata.

Hakika sauti ya RC Makonda imesikika kila kona ya biashara hiyo haramu inakofanyika.
 
Waliojisalimisha kisheria wanaimmunity ya kushitakiwa kutuhumiwa au kuhojiwa.
 
Kuna tetesi watumiaji wa madawa ya kulevya wanajisalimisha wenyewe kuomba hizo dawa na wengine wamepoteza maisha.

Vita imenoga sasa kwa ukosefu wa hayo madawa. Wabanwe hao wanaojitokeza kutaja wanalikokuwa wakizipata.

Hakika sauti ya RC Makonda imesikika kila kona ya biashara hiyo haramu inakofanyika.
Hivi hii nayo ni habari? Wapatie sasa methadone ndio uonekane unajua unachokifanya
 
Kuna tetesi watumiaji wa madawa ya kulevya wanajisalimisha wenyewe kuomba hizo dawa na wengine wamepoteza maisha.

Vita imenoga sasa kwa ukosefu wa hayo madawa. Wabanwe hao wanaojitokeza kutaja wanalikokuwa wakizipata.

Hakika sauti ya RC Makonda imesikika kila kona ya biashara hiyo haramu inakofanyika.
weka picha ya mazishi..wachana na propaganda za magazeti yalonunuliwa
 
mbona mateja ya pale ubungo yanapeta tu..... mimi bado sina imani na hii vita..... yakiisha mateja nitakubali tumeahinda
 
Ukifanya hivyo itawafanya waogope kwenda hosp na kukiuka haki ya kikatiba ya kila mtu kupata huduma ya afya.
Wakisukumwa na uzalendo, na kwa kuwa wanajua madhara ya madawa, naamini wanawataja waliokuwa wanauzia, kwa hiari
 
weka picha ya mazishi..wachana na propaganda za magazeti yalonunuliwa

Jitahidi kuangalia TV taarifa za habari. Na kwa nini niweke picha za watu mazikoni bila kibali chao! Tii sheria bila shurti.
 
Back
Top Bottom