Kumekucha ubungo terminal

wajameni naomba humu jamvini tuvumiliane kwani ni zamu yangu na mimi kula kupitia upanuzi wa UBT.Atakayeendeleza huu mjadala namuweka ndani sasaiv!
 
Kwa maoni yangu stendi ya mabasi ya kwenda mikoani inabidi iwe pembeni ya mji kwa kila njia, kwa kuwa njia kuu za kuingia na kutoka Dar zipo tatu yaani ile ya kusini, maghalibi na kaskazini.

Stendi ya mabasi yaendayo mikoa ya kusini inabidi iwe Mbagala au Kongowe, ya kuelekea mikoa ya maghalibi ama ibaki Ubungo au ihamishiwe Kibaha na ile ya kaskazini ijengwe maeneo ya Bunju au Bagamoyo maeneo ya mapinga hapo, inaweza kusaidia kuvunja minyororo ya asubuhi watu maelfu kuwahi UBT.
 
Ni uzembe wa kufikiria tu! kwa nini wasijenge stands ambazo zitakuwa zinatoa huduma accordingly! mfano hapo Ubungo pawe kwa mabasi ya nyanda za juu na pia kati halafu kuwe na ingine yenye kuhudumia wa north halafu na ingine ya wa kusini! hii itatatua sana mafoleni ya kijinga.
 
stend ya ubungo haikustahili kuwepo pale

Kasimba ndugu yangu.....stand ilikuwa pale kwa ramani ya mipango miji ya 1970,watu ndio waliovamia eneo lile,kama ni mwenyeji nyumba zinanostahili kuwa pale mwisho ni vile vi-kota basi!wengine wote wamechakachua....sasa tusipende kupingana na serikali wakati sisi ndio wenye makosa.Nilikuwa pale kwa miaka sasa naenda zangu Kibaha mji mpya karibuni bandugu!
 
Back
Top Bottom