Nchi hii tunamatakowengi sana kwenye utendaji. Tunarudi 1981.Hiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Ndio maana tuko juu ktk uvutaji wa Bangi....
Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
Basi wewe ni mtoto wa kufikia.Siwezi kuwa na line ya ttcl
Yeyote mwenye jibu huu uwanja una wengiUnamuuliza nani?
Canine koko.
Yaani hii nonsense ni ya kiwango cha SGR!
Zilikuwa hazijasajiliwa kwa kitambulisho Cha taifaYaani hawana database yakujua watu wenye laini au la.Mimi ninachojua makampuni yana database ya majina au wenye namba za simu na usipotumia kwa muda wa mwaka mmoja wanampa mtu mwingine sasa TTCL wanataka majina ya nini sasa ai
Kama una account ya bank,vocha sio shida,you can buy straight from your account.Kwanza kununuaHaina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?
Maneno hayo yameanza.Bank charges analipa Nani za kununua hiyo vocha sababu ukinunua hard voucher hakuna bank charges.Kama una account ya bank,vocha sio shida,you can buy straight from your account.Kwanza kununua
"hard voucher "ni old fashion.
Kwa mzalendo na mtu anayeipenda nchi yake that is peanuts.Maneno hayo yameanza.Bank charges analipa Nani za kununua hiyo vocha sababu ukinunua hard voucher hakuna bank charges.
Vocha unanunua hata kwa Mpesa ama Tigo pesaHaina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?
Watumishi wa mma hamfiki 1,000,000 mkianza kujibagua na kuwa na mtandao wenu wenyewe sijui mitaani mtaonekanaje maana sasa hivi kupigiana simu ni Mtandao mmoja kwemye Mtandao huo huo sasa nyie milioni 1,000,000 mkiwa mtandao wenue na sisi 19,000,000 tukiwa mitandaoni hii mingine hamwone kwamba hawa 19,000,000 ndio watatoa biashara kubwa zaidi ya hao 1,000,000?
Hahaha! hata wewe leo unauliza? Yehoyada kabisa? Fanya faster ukanunue laini ya TTCL ebo!!Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
Vocha za Vodacom na tigo ziko kila mahali huhitaji tigo pesa au mpesa kununua ok kwa hiyo mfanyakazi wa porini anatakiwa Kuwa na line ya tigo pesa au mpesa ili anunue vocha ya TTCL sababu TTCl pesa hawana huduma hiyo. Ukinunua muda wa maongezi wa Vodacom Kama una line ya Vodacom hukatwi charge yeyote kwa hiyo mtu wa Mpesa akinunua TTCL vocha Vodacom hawatamchaji chochote mnunua vocha ya TTCL kupitia Mpesa? TTCL wameingia nao makubaliano kuwa agents wao?Vocha unanunua hata kwa Mpesa ama Tigo pesa