Kumekucha tarime

Kumekucha tarime

koryo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
639
Reaction score
278
Kusema ukweli wananchi wa Tarime wana msimamo. Nipo huku kwetu Tarime kwa kweli kila kona ni UKAWA. Vijana wa Tarime wamehamasika kuunga mkono UKAWA kwa asilimia mia moja. Mgombea wa CCM wa Jimbo la Tarime Mjini kila akipita hakuna wa kumsikiliza. Leo badala ya kuzindua Kampeni katika viwanja vya Serengeti hapa mjini amekimbilia Buhemba kuogopa aibu. Kesho ni uzinduzi wa UKAWA hapa Tarime, kwa kweli kutakuwa ni mafuriko. Wananchi wamemueleza mgombea wa CCM asiharibu fedha yake aelekeze hizo fedha kwa familia yake kwa sababu hatapata ushindi. Kwenye ngazi ya Udiwani katika Kata ya Nyamisangura ndiyo usiseme. Mgombea wa UKAWA ameambiwa asifanye kampeni, UDIWANI ni wake. Uzuri wa Wakurya wakikukataa wanakueleza bila kukuficha. Mfano hai ni pale walipomueleza Nyambari Nyangwine kuwa asisumbuke hapati tena Ubunge na ndivyo ilivyotokea. TUWAIGE WENZETU WAKURYA WA TARIME WANA MSIMAMO KABISA.
 
kitakacho waponza ni Kushinda kwenye mitandao mnazusha uongo alafu mnatasema mmeibiwa Kura ,enndeleza uongo
 
Kama wewe unavyoshinda humu kupinga tu kwa ajili ya kupinga mambo yaliyo wazi kabisa. Jiandae kisaikolojia. Zama za chama kimoja zimeisha.
 
100% ? sasa huyo wa ukawa anazindua kampeni za nini ikiwa ashashinda tena kwa asilimia zote au ndo anataka kutoa neno la shukran
 
ahahaha,nasikia na kata ya themi kule arusha kwa lemi!makamanda wamemwambia mgombea udiwani kaambiwa akae pembeni kwani wana arusha washaamua
a)raisi lowasa
b)mbunge lema
c)diwani wa chadema
 
Tarime walimtwanga mawe lowassa acha kupotosha malofa wenzako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom