Kumekucha Stanbic Bank


Natamani ingeingia serikali ya kijeshi katili!
 
Haya ndo matokeo ya kuwa na benki utitiri. Wakubwa wote wa Stanbic bank wapo kwenye mgao, wachunguzwe na endapo itagunduliko hivyo, vyombo vya sheria vichukue viwashughulike.
 
Umegawiwa sh ngapi?

inawezekana maana bunge tayar limesha toa ushauri wenye maazimio 8 bado yeye kukubar ushauri au kukataa. lkn tumpe mda isije ikawa kama kwenye EPA hadi leo sijui kama wahusika waliwajibishwa
 
Tatizo lako ndugu yangu unadhani UDINI utatusaidia kuondoa WIZI na UJANGILI.

Tuache Udini tutafute njia ya kuwaadhibu hawa
.Hata huyu Muislamu mwenzako naye ana skendo jw, tumhukumu kwa dini yake?

safi sana. ukizungumzia maslai ya nchi weka mbali UDINI. tusije tukawa kama Nigeria
 
Tutafika tu
 

Attachments

  • 1417599242673.jpg
    95 KB · Views: 164

udini hautakufikisha popote..mambo ya mkatoliki yametoka wapi...kwa nini umtambue mtu kwa dini yake au kabila lake...so shameful..
 
Ili account ya kampuni ifunguliwe katika benki yoyote ni lazima kuwe na site visit ( Relationship/Account manager) lazima afike kwenye office inayotarajia kufungua akaunti na pia kuna kitu kinaitwa company search,black list check for all directore and signatories (mabenki mengine huita Norkom) ili kujiridhisha kuwa directors hawajawa black listed! KYC na AML lazima zifanyiwe kazi vizuri.
Wasiwasi wangu ni kama hayo yalifanyika,ikumbukwe kwa wakati huo benki hiyo ilikuwa chini ya managing director aitwaye Bashir Awale,ni mtoto wa mjini ukute hii akaunti ilianzia juu kisha ikashushwa chini,sasa mara nyingi akaunti za kuanzia juu huskip KYC vibaya mno! RM ukute kasainishwa tu bila kujua anasaini nini,na mabenki yetu haya RM's hupewa target za kufa mtu, hapa RM atakuwa aliambiwa kuwa akaunti itawekewa USD 122million lazima alipagawa coz aliona bonus anayoenda kupata ni ya kufa mtu...sidhani kama hata alikumbuka kucheck black list, ingawa kiuhalisia akaunti kama hizo huwa zinaangukia kwenye EDD yaani Enhanced Due Deligence,ambazo huhitaji kuangaliwa sana kiundani na kufunguliwa ni mpaka head wa compliance aweke mkono wake!
Kufunguliwa tu kwa akaunti kuatchukua mlolongo wa watu...achilia mbali pesa kuchotwa...
Kuna inernal auditors ambao kazi yao ni kupitia mafaili, kuna mtu wa risk pia withdrawal kubwa inapopita kwenye account lazima inatoka kwenye report ya exceptional report....sijui waliandika vitu gani hao waliocheck report....

Stanbic ni vigumu sana kukwepa saga hili kama regulator ataamua kumfuatilia,hawa jamaa walichofanya hakina tofauti na walichofanya FBME kule Syprus!
 

Huwezi kuchangia bila kuingiza Udini? Kwani aliyemtaja Kikwete kamtaja kwa dini yake? Usikubali kumtetea mwizi eti kwasababu ni dini yako. Ulichotakiwa ukomenti tu kwamba huu uchunguzi uanze toka enzi za Mkapa. Mwizi hana dini. Hata Mkapa nae ni mwizi tu.
 
mkombozi bank ni bank ya wizi,

full stop,

wana case ya kujibu kama walivyo nayo stanbic bank,

bring back our money.

Kwa hili halina ubishi. Pamoja na Kilaini woote ni grupu la wezi. Sisi Wakristo huwa mwizi tunamwita mwizi tu hata angekuwa Nabii. Hatulindi wezi eti kwasababu ni dini yetu. Chenge, Tibaijuka, Ngeleja, ni wezi tu hata kama ni wakristo na wanatoabsadaka kubwa makanisani. Waadhibiwe.
 

Naunga mkono hoja mkuu kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…