Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,244
- 111,212
Muheshimiwa Raisi anakujaje tena hapa, mmeshindwa kumfungulia mashtaka Mkapa alotaifisha viwanda, Migodi na akauza hadi numba za NHC, acheni double standards, Patachimbika! wadhani Kikwete hana watu ee
Mmmhhh tutayaskia mengi yanakuj.uozo kila pahala cjui nchi inakwend wap
Iptl imeanza enz zile MKATOLIKI MKAPA NI RAIS WA NCHI HII,
TUANZIE NA YEYE KWANZA,
MAANA HUU UOZO WAKE UMEANZIA KWAKE,
MSIWE HARAKA KUSAHAU KIAS HICHO,
MIGODI YA BUZWAGI,UBINAFSISHAJI WA NBC NA WIZI HOLELA WA NYUMBA ZA UMMA UMEANZIA KWA MKAPA,
WOOTE WANA CASE YA KUJIBU,USICHAGUE CHAGUE
Hapa chini ya picha naona noti ya elfu kumi na kitita cha USD, hapa patakuwa ni bank, wanalifanyia post mortem segere la wenzao.
Iptl imeanza enz zile MKATOLIKI MKAPA NI RAIS WA NCHI HII,
TUANZIE NA YEYE KWANZA,
MAANA HUU UOZO WAKE UMEANZIA KWAKE,
MSIWE HARAKA KUSAHAU KIAS HICHO,
MIGODI YA BUZWAGI,UBINAFSISHAJI WA NBC NA WIZI HOLELA WA NYUMBA ZA UMMA UMEANZIA KWA MKAPA,
WOOTE WANA CASE YA KUJIBU,USICHAGUE CHAGUE
Iptl imeanza enz zile MKATOLIKI MKAPA NI RAIS WA NCHI HII,
TUANZIE NA YEYE KWANZA,
MAANA HUU UOZO WAKE UMEANZIA KWAKE,
MSIWE HARAKA KUSAHAU KIAS HICHO,
MIGODI YA BUZWAGI,UBINAFSISHAJI WA NBC NA WIZI HOLELA WA NYUMBA ZA UMMA UMEANZIA KWA MKAPA,
WOOTE WANA CASE YA KUJIBU,USICHAGUE CHAGUE
vyovyote vile,
mimi binafsi naamini kanisa katoliki linashiriki kwa kias kikubwa sana kututia umaskin ndan ya taifa hili,
wasomi inaozalisha ndio hawa hawa kina chenge wanaoishia kuliibia taifa hili,
mabenk wanayoanzisha ndiyo haya haya kama mkombozi yanayoishia KUFANYA MONEY LAUNDERING KISHA WANAISHIA KUZITAKASA NA KUFANYIA HARAMBEE ZA KILA AINA,
DISGRACE TO THIS NATION
Kwa style hii basi kuna mengi nyuma ya pazia.Tanzania. ...katiba hapa ndo mhinu la sivyo tutaendelea kunyanyasika bila wezi kuchukukiwa hatua
Tatizo lako ndugu yangu unadhani UDINI utatusaidia kuondoa WIZI na UJANGILI.
Tuache Udini tutafute njia ya kuwaadhibu hawa
.Hata huyu Muislamu mwenzako naye ana skendo jw, tumhukumu kwa dini yake?
acha udini usitupeleke kenya au afrika ya kati.bank yenye shida hapa ni stanbik na wala si mkombozi.
Mkombozi waliguata kanuni za kibenk ndiyo maana walitimia tiss kufanya transactions zake, kinachoumiza ni kwanini baada ya kuona transactions zake ni za kutilia mashaka hawakitoa taarifa.
Tatizo la pili ni taarifa zingepelekwa kwa nani? Sababu wote wameshabariki wizi.
Tunapenda kudhani kwamba hii ni nchi, hii siyo nchi ya kawaida. ni banana Republic. Ikiwa siyo hivyo hata siku mojha usingeweza kuwa na viongozi wa aina hii. hata Rais asingekuwa huyu tuliyenaye.
Stanbic washatoa statement kuwa taratibu zote za kufungua account zilifuatwa sasa sijui wa kumwamini ni nani hapa.
muislam mwenzangu kikwete kashirikiana na kanisa katoliki kupitia mkombozi bank kuiba fedha za umma,
PATAMU HAPO..!!
WEZI NDAN YA TAIFA HILI WANAFAHAMIKA,
SAFARI HII TUTAKULA SAHANI MOJA NA MAFISADI WOOTE.
mkombozi bank ni bank ya wizi,
full stop,
wana case ya kujibu kama walivyo nayo stanbic bank,
bring back our money.