Kumekucha Stanbic Bank

What about Albert Marwa aliyevuta cash 73 bilioni, shemeji yake Riziwani Kikwete
 
hivi stanbic bado ianfanya kazi tu ?haijafungiwa bado inatakiwa iwe blacklisted haraka.
 
Duhh!!
Kwa hiyo AC ni magumashi,, maana kama hakukuwa na documentation waliwezaje kufungua?
Waliifungua juu kwa juu... kwa maana nyingine wla hawakutaka ku-verify if PAP exists. Ni kwamba hawakuwa na muda hata wa kwenda BRELA kuthibitisha hawa PAP ni nani nchi hii.

I thought it's a smart forgery but it's just a reckless forgery ambayo ilifanikiwa kwa sababu tu watu walinunuliwa! Kuna forgery huwa zinatokea to the point hata wewe mwenyewe uliyepigwa changa la macho unajua kabisa hata kama inakuja nyingine kama hii, unaweza kupigwa changa kwa mara ya pili, ya tatu na kadhalika but this, ain't no among the smart forgery at all.
 
Hii ni skendo ya CCM na ufadhili wa uchaguzi mwakani...
 
Stanbic bwana.

Haya ndio madhara ya Mabank kutoinvest kwenye human development.
That's one lakini wala haielekei kwamba imetokana na kutofahamu banking compliance and procedures as required by BOT... hii imefanyika kwa makusudi kabisa coz' no matter how poor your human resources is, bado hawawezi kushindwa kufahamu KYC procedures!
 

Iptl imeanza enz zile MKATOLIKI MKAPA NI RAIS WA NCHI HII,

TUANZIE NA YEYE KWANZA,

MAANA HUU UOZO WAKE UMEANZIA KWAKE,

MSIWE HARAKA KUSAHAU KIAS HICHO,

MIGODI YA BUZWAGI,UBINAFSISHAJI WA NBC NA WIZI HOLELA WA NYUMBA ZA UMMA UMEANZIA KWA MKAPA,

WOOTE WANA CASE YA KUJIBU,USICHAGUE CHAGUE
 
Naamin maneno ya Mwasisi wetu Baba wa Taifa aliyemwona Jakaya Mrisho Kikwete hauwezi Urais wa Tanzania.. Unabii wa Nyerere umetimia..

Baba wa Taifa yupi unayemwelezea hapa???

Kama ni huyu wengine wanayemuita mtakatifu basi umekosea maana ni yeye ndiye alimwandalia mkweree nafasi ya urais...

Ni nadhiri aliyoitoa kwa baba yake mkweree miaka hiyo ya mtakatifu akiwa anaenda sana bwagamoyo kufanyiwa mazindiko kwa baba yake mkweree...
 
What about Albert Marwa aliyevuta cash 73 bilioni, shemeji yake Riziwani Kikwete

Mkuu Kimilidzo ungaliweka uthibitisho wa madai haya, wadau wangepata pa kuanzia! Pengine kwenye vijiwe hili linajulikana ila bila evidence tutabaki kuimba taarabu tu!
 
kumbe ndiyo picha limeanza
 

Masahihisho. Ufisadi wa IPTL umeanza mwaka 1994 mzee Mwinyi akiwa rais na waziri wa Maji,Nishati na Madini akiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye alisaini huu Mkataba kwa niaba ya Serikali!
 
Mkuu Kimilidzo ungaliweka uthibitisho wa madai haya, wadau wangepata pa kuanzia! Pengine kwenye vijiwe hili linajulikana ila bila evidence tutabaki kuimba taarabu tu!

Kama PAC wameogopa kuweka hadharani Bank Statements kuonyesha mihamala iliyopiga hela Stanbic kwa woga, sasa Mimi mkulima maskini sizihofii kucha zangu na meno?
 

Nakubaliana nawe kwamba walifahamu walicho kuwa wanafanya na ni kwasababu hii nikasema jana tutafute majina ya Wakurugenzi wa Kitanzania ndani ya hii Bank na mahusiano yao na CCM na Ikulu! Sina hakika lakini nawakumbuka akina Hawa Sinare na Balozi Mpungwe kuwemo ktk bodi. Hii kashfa iliwezeshwa na watu wakubwa. Sijaelewa kwa nini Gavana wa BOT na baadhi ya Maafisa wake wamepona vipi wakati uzembe upande wao ukionekana wazi!
 
When big monie is involved, everything becomes smart, kwa mtizamo wangu hii ni smartest fojare.

 

Muheshimiwa Raisi anakujaje tena hapa, mmeshindwa kumfungulia mashtaka Mkapa alotaifisha viwanda, Migodi na akauza hadi numba za NHC, acheni double standards, Patachimbika! wadhani Kikwete hana watu ee
 

Enzi hizo Muislamu Jakaya Kikwete alikuwa Msoga analima mananasi
 

Sisi tuliozaliwa baada ya kifo chake tunaambiwa kua kifo chake kilitokana na jitihada za watu hasa aliyezunguka nchi nzima kuwambia watanzania wamchague ndo mtuhumiwa namba moja wa kifo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…