Kumekucha: Parliament to discuss EPA, Richmond -Speaker

Katika dataz nilisema kuwa Mtikila ametoa one condition, nayo ni kuwa iwapo hawatamburuza mkapa kwenye sheria, after a period of time yeye atamburuza,

Iwapo wabunge wamerudisha Bandari yetu wananchi watashindwa nini tena kuhusu Mkapa? Kwani yeye hajui kuwa sasa maji yako shingoni?

Sorry hivi nimepitwa?, kwani bandari yetu tayali imerudi? I mean ule mkataba wa kifisadi wa miaka 15 zaidi umekataliwa? Nakumbuka kwamba serikali iliwatetea kwamba waendelee na mara wakajikosha kwa kumuondoa Karamagi huko TISC ama nachanganya madesa hapa? tafadhari ni upadate ndugu..
 
Back
Top Bottom