Kumekucha...Mganga aliyewapa ' Ndumba ' Mitume na Manabii 1,700 wanaotudanganya Waumini atoa onyo

Dhahabu na mawe mengine ya madini yanauzwa pesa nyingi sana na wanaoyapata hutajirika, sivyo?
Basi matapeli hutafuta yaliyo ya bandia ya kufanana, yaani madini feki na huwauzia wasiojua na kuwatapeli pesa nyingi sana sivyo?
Je, watu watupe dhahabu na madini yao ya kweli kwa kuwa kuna yaliyo feki?
Je, ni kosa la madini ama ni kosa lako wewe usiyeyaelewa vizuri mpaka ukauziwa kanyaboya?
Jifunze kuyatofautisha ili usiibiwe lakini kamwe matapeli wa madini hawayafanya yaliyo ya kweli yaache kutafutwa au kuuzwa pesa nyingi!
Na watu hawatasema kwa kuwa almasi feki zimekuwa nyingi basi TUVAE VIDANI VILIVYOTENGENEZWA KWA VIJIWE VIJIWE TU VISIVYO NA THAMANI!
ni tafakuri ndogo tu mkuu,Kile kinachoigwa sana ndio kina thamani ujue, vijiwe utamuibia nani mamilioni!
Nimekuelewa sana mkuu bonge la ujumbe
 
Dini ya haki na kweli itabaki kuwa ni uislamu tu na huo ndio ukweli mchungu.
Wengine wote ni matapeli na ni uongo mkubwa.
Kwa kutambua uislamu uislamu ni dini ya haki basi watu wa maghribi wamepandikiza chuki ya ugaidi ili dini hii tukufu ichukiwe na ipigwe vita kote duniani ili wafuasi wao wasiijue na kuitambua dini ya haki.
Uislamu hauna ugaidi na dini hii inapiga vita ugaidi na dini hii haikubali mauaji ya aina yoyote.
Endeleeni kupotoshwa na mbaki kutojielewa kwa ubishi msiokuwa na ujuzi nao.
ALLAH AKBAR
Uislamu uliosherekea Idd leo au Utakaosherekea Idd Kesho??
 
Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
  1. Jirani na mataa ya Mwenge
  2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
  3. Mahelikopta Ubungo
  4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
  5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
  6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni mkabala na njia panda kama unaenda Kunduchi
  7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
Nakumbuka miaka ya nyuma ulimtetea sana huyo mama namba 6.
 
Dini ya haki na kweli itabaki kuwa ni uislamu tu na huo ndio ukweli mchungu.
Wengine wote ni matapeli na ni uongo mkubwa.
Kwa kutambua uislamu uislamu ni dini ya haki basi watu wa maghribi wamepandikiza chuki ya ugaidi ili dini hii tukufu ichukiwe na ipigwe vita kote duniani ili wafuasi wao wasiijue na kuitambua dini ya haki.
Uislamu hauna ugaidi na dini hii inapiga vita ugaidi na dini hii haikubali mauaji ya aina yoyote.
Endeleeni kupotoshwa na mbaki kutojielewa kwa ubishi msiokuwa na ujuzi nao.
ALLAH AKBAR
Kufa kufaana
 
Huyo mganga anatafuta wateja anajitangaza ili wajinga waende kwake wakidhani awape nguvu kumbe hana lolote.
Ni sawa na yule aliyeenda clouds zama zile kusema ndiye kamfanya diamond awe maarufu asipoomba msamaha atamshusha
Picha la ccm aka bashite steering!
Mlengwa "Dude"
 
Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
  1. Jirani na mataa ya Mwenge
  2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
  3. Mahelikopta Ubungo
  4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
  5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
  6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni mkabala na njia panda kama unaenda Kunduchi
  7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
Mara nyingi adui akipigwa rohoni anakuja mwili. Kwa wenye akili tunajua vita imekwisha ni kumalizia tu mkia. Kazi ambayo ni rahisi zaidi.
 
Inasemekana kwamba huyu ndiyo ' Mganga ' mkubwa na mwenye ' Ndumba / Uchawi ' mkubwa sana ambaye ndiyo amewapa nguvu hizi za ' Miujiza ' ambazo hawa Watu wanaojiita ' Mitume ' na ' Manabii ' ambao ni ' maarufu ' sana hapa nchini Tanzania hasa hapa katika Jiji letu hili la Dar es Salaam.
Huyo mganga anatafuta kiki tu kwa kuwa hao 'manabii' na 'mitume' nguvu zao wamepatia Nigeria na Afrika Kusini wala sio hapa Tanzania. Huyo mganga ni tapeli tu kama hao 'mitume' na 'manabii'...
 
Dini ya haki na kweli itabaki kuwa ni uislamu tu na huo ndio ukweli mchungu.
Wengine wote ni matapeli na ni uongo mkubwa.
Kwa kutambua uislamu uislamu ni dini ya haki basi watu wa maghribi wamepandikiza chuki ya ugaidi ili dini hii tukufu ichukiwe na ipigwe vita kote duniani ili wafuasi wao wasiijue na kuitambua dini ya haki.
Uislamu hauna ugaidi na dini hii inapiga vita ugaidi na dini hii haikubali mauaji ya aina yoyote.
Endeleeni kupotoshwa na mbaki kutojielewa kwa ubishi msiokuwa na ujuzi nao.
ALLAH AKBAR
Hahaaaa haass sasa mbona umeanza kujitetea kuhusu ugaidi bila kuulizwa? Umenifurahisha kweli aiseeeh hapo kuna kitu
 
Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
  1. Jirani na mataa ya Mwenge
  2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
  3. Mahelikopta Ubungo
  4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
  5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
  6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni mkabala na njia panda kama unaenda Kunduchi
  7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
Kumbe mkuu unawajua wote wanaopiga ndumbalizer
 
Dini ya haki na kweli itabaki kuwa ni uislamu tu na huo ndio ukweli mchungu.
Wengine wote ni matapeli na ni uongo mkubwa.
Kwa kutambua uislamu uislamu ni dini ya haki basi watu wa maghribi wamepandikiza chuki ya ugaidi ili dini hii tukufu ichukiwe na ipigwe vita kote duniani ili wafuasi wao wasiijue na kuitambua dini ya haki.
Uislamu hauna ugaidi na dini hii inapiga vita ugaidi na dini hii haikubali mauaji ya aina yoyote.
Endeleeni kupotoshwa na mbaki kutojielewa kwa ubishi msiokuwa na ujuzi nao.
ALLAH AKBAR
So kwakuwa kuna manabii wa uongo then ukristo sio dini ya haki na YESU hayupo???

Yeye ni njia na uzima. Huendi kwa baba bali kwa kupitia yy..
 
Huyo mganga anatafuta wateja anajitangaza ili wajinga waende kwake wakidhani awape nguvu kumbe hana lolote.
Ni sawa na yule aliyeenda clouds zama zile kusema ndiye kamfanya diamond awe maarufu asipoomba msamaha atamshusha
Hasa aliwapa dawa na ndumba za nini kama hataki waloge na kuhuburi....
 
Back
Top Bottom