Kumekucha...Mganga aliyewapa ' Ndumba ' Mitume na Manabii 1,700 wanaotudanganya Waumini atoa onyo

Dhahabu na mawe mengine ya madini yanauzwa pesa nyingi sana na wanaoyapata hutajirika, sivyo?
Basi matapeli hutafuta yaliyo ya bandia ya kufanana, yaani madini feki na huwauzia wasiojua na kuwatapeli pesa nyingi sana sivyo?
Je, watu watupe dhahabu na madini yao ya kweli kwa kuwa kuna yaliyo feki?
Je, ni kosa la madini ama ni kosa lako wewe usiyeyaelewa vizuri mpaka ukauziwa kanyaboya?
Jifunze kuyatofautisha ili usiibiwe lakini kamwe matapeli wa madini hawayafanya yaliyo ya kweli yaache kutafutwa au kuuzwa pesa nyingi!
Na watu hawatasema kwa kuwa almasi feki zimekuwa nyingi basi TUVAE VIDANI VILIVYOTENGENEZWA KWA VIJIWE VIJIWE TU VISIVYO NA THAMANI!
ni tafakuri ndogo tu mkuu,Kile kinachoigwa sana ndio kina thamani ujue, vijiwe utamuibia nani mamilioni!
Hahaha umetumia njia ngumu sana kueleza. Ila ngoja nijaribu kuweka hivi.

Hakuna atae kaa na kuumiza kichwa kuandaa kokoto feki, maana haina thamani.

Lakini utaona watu wanakaaa kuandaa Dhahabu feki.

Shetani atapotosha na kutaka kupigan na cha kweli, ili akamate watu zaidi
 
Ni uongo mtupu, huwezi kuchanganya uchawi na Jina la Yesu, huyo mganga atakuwa katumwa na Makonda ili kumchafua Gwajima ila ataumbuka tu.
Huwezi kuchanganya uchawi na jina la Yesu? Biblia ipi imesema hivyo? Na wale manabii wa uongo tena waliokuwa wakitoa mapepo kwa jina la Yesu ilikuwa amended Bible au?
 
Dini ya haki na kweli itabaki kuwa ni uislamu tu na huo ndio ukweli mchungu.
Wengine wote ni matapeli na ni uongo mkubwa.
Kwa kutambua uislamu uislamu ni dini ya haki basi watu wa maghribi wamepandikiza chuki ya ugaidi ili dini hii tukufu ichukiwe na ipigwe vita kote duniani ili wafuasi wao wasiijue na kuitambua dini ya haki.
Uislamu hauna ugaidi na dini hii inapiga vita ugaidi na dini hii haikubali mauaji ya aina yoyote.
Endeleeni kupotoshwa na mbaki kutojielewa kwa ubishi msiokuwa na ujuzi nao.
ALLAH AKBAR
Achana na Quran inakudanganya tu haina kitu.
 
Ni kweli Mkuu, ila unajua kwanini? Hizi nguvu kinzani na uislamu huenda pamoja, hazikinzani. Kwahiyo hapo Umesema ukweli mtupu.

Kuhusu mauaji, hapo uwe mkweli kidogo, au ulimaanisha kwa yale ya maroketi tu si ya upanga na nguvu zingine za akina Saydina Abubakar?
 
Hahaha umetumia njia ngumu sana kueleza. Ila ngoja nijaribu kuweka hivi.

Hakuna atae kaa na kuumiza kichwa kuandaa kokoto feki, maana haina thamani.

Lakini utaona watu wanakaaa kuandaa Dhahabu feki.

Shetani atapotosha na kutaka kupigan na cha kweli, ili akamate watu zaidi
Kweli umetumia njia rahisi, nadhani kila mtu amekuelewa. Upande wa pili shetani hana cha kuhangaika nacho, miliki yake tangu uasisi wake. NB: Yaliyotokea ndani ya jabali na kauli ya ya kwanza ya aliyepewa ujumbe ule.
 
Yesu alisema wazi 'Siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo na watafanya miujiza mingi itakayodanganya watu wengi'. HIZI NDIZO ZILE SIKU ZA MWISHO ZIMEANZA. Bado miaka mingapi? Hakuna anayejua kwa uhakika. Lakini huko kuibuka 'manabii' wengi wa uongo (sio Tanzania tu bali dunia nzima) ni alama ya siku za mwisho.
 
Jana wasabato wamemaliza karibu wiki nzima ya makongamano ya kuhubiri injili, duniani kote. Nadhani hivi punde wote watakuwa wameshahubiriwa, hili nalo linazidi kupunguza kipindi kilichobakia.
 
Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
  1. Jirani na mataa ya Mwenge
  2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
  3. Mahelikopta Ubungo
  4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
  5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
  6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni mkabala na njia panda kama unaenda Kunduchi
  7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
Una ushahidi
 
1700 hiyo list haitamwacha mtu salama. Na hizi tuhuma zimekuwepo mda mrefu. Niwakati wa kuliamsha DUDE.
 
' waache kutuhubiria, kuturoga na kutudanganya vinginevyo asipoona wamebadilika basi muda wowote kuanzia sasa atawataja ' mubashara '
Atakuwa anajitangaza kiaina azidi kupata wateja, kama ndumba za kuturoga si anawapa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom