Kumekucha! Lowassa ndani ya Ruaha

Hata darasani ulikuwa zero tu.

swissme
 
Last edited by a moderator:
Mteketa ni mbunge wa CCM jimbo lipi? kwa sababu najua kwenye kura za maoni alipigwa kata funua ..:dizzy:

Mbona huwa unapagawa #MAUOZO YA CCM YAKITOLEWA LIVE,ushaambiwa mbunge wa zamani alafu eti unaauliza MBUNGE WA JIMBO GANI...Hivi unajielewa kweli???
 
Peleka upum.bavu wako f.ala wewe utaugua wewe umuache Lowassa p.mbi kabisa.

Mimi nina wiki moja nipo hapa mkoani Tabora na ninatembelea baadhi ya wilaya.Tangu Lowassa aanze ziara yake huku hajapata tatizo zaidi kuchanganywa na umati wa watu uliokuwa ukimpokea na kumuimbia nyimbo kama kale ka wimbo ka Dodoma ka IMANI.
 
Peleka upum.bavu wako f.ala wewe utaugua wewe umuache Lowassa p.mbi kabisa.

Matusi hayaumbi, tujenge hoja tu!

Kila mmoja anajuwa kuwa LOWASSA ni mzuri kwa kuwa agenda zake
  • Elimu bure kutoka msingi - Chuo Kikuu
  • Kulipa wakulima mazao yao kwa riba
  • Kuongeza michezo (Viwanja vyenye hadhi ya kimataifa kila kanda
  • Afya bora na dawa
  • Uwajibikaji
  • Kupunguza deni la taifa
  • Ajira kwa vijana n.k
 
Updates Updates

Mkutano Wa Lowassa Uliokuwa Ufanyike Leo Umeairishwa Mpaka Tarehe15sept, Habari Kutoka Kwa Diwan,na Nimefika Hapo Uwanjani Ndo Wanahamisha Jukwaa
 
Updates Updates

Mkutano Wa Lowassa Uliokuwa Ufanyike Leo Umeairishwa Mpaka Tarehe15sept, Habari Kutoka Kwa Diwan,na Nimefika Hapo Uwanjani Ndo Wanahamisha Jukwaa
Tupia picha wanavyohamisha jukwaa
 
...ila wakuuu...hio ya elimu bure hadi chuo kikuuuu....mhhh???! kuna walakini hapo...haingiii akilini...
 
Wewe MFYU. Kama unaona elimu bure hadi chuo kikuu haiwezekani HAPA TANZANIA, ww kaa pembeni mtupishe sisi wengine tutachagua elimu bure tuone kama itashindikana. Ulipo tupo. EL.
 
Mteketa ni mbunge wa CCM jimbo lipi? kwa sababu najua kwenye kura za maoni alipigwa kata funua ..:dizzy:

Mbona huwa unapagawa #MAUOZO YA CCM YAKITOLEWA LIVE,ushaambiwa mbunge wa zamani alafu eti unaauliza MBUNGE WA JIMBO GANI...Hivi unajielewa kweli???
 
Wewe MFYU. Kama unaona elimu bure hadi chuo kikuu haiwezekani HAPA TANZANIA, ww kaa pembeni mtupishe sisi wengine tutachagua elimu bure tuone kama itashindikana. Ulipo tupo. EL.

Msafara Wa Magari Ya Lowassa Umepata Ajali Ndo Imepelekea Mkutano Wake Wa Ruaha Kuahirishwa
 
noma sana !
 
Last edited by a moderator:
Upinzani hawatoi kafara bana ccm naona tayari mmeanza kumwaga damu
 
Jamani msiwajibu wanaoeneza uzushi..tuwapuuzie kama walivyo puuzwa na mgombea wetu wa urais-Mr EDO...yeye kasema hana mda mchafu wa kujibizana na wanafki.....kura yangu kwa edo maana sijawahi ona mwanasiasa mvumilivu na muungwana kama lowasa, hana kejeli wala matusi
 
sijawahi kuwa Pro CCM wala pro Upinzani,nimeuliza tu maana watu hapa nilipo wameaminishwa Edo haji,ndo nimeuliza,hawa wanasema hivyo hata JF hawaijui,baada ya kusikia ndo nimeuliza,sasa umagamba na upinzani hapo unatokea wap?
Hizi Siasa sometimes zinatufanya tuwe wendawazim, sioni sababu ya watu kijibizana ovyo kisa mkasa kuwa Lowasa kaumwa haji Ifakara, kuumwa ni jambo la kawaida. ..Pole Mkoroshokigoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…