chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
uwanja aliohutubia magufuli juzi ulio ktk benk ya nmb wameona kuwa mdogo, ivyo lowassa atakuwa uwanja ulio ndani kambi ya nyumba za kampuni ya sukari, ni uwanja wa wazi na mkubwa.
kwa wale wenyeji wa Ruaha, Congo, Manyasini, K2, Nyamvis Karibuni Hapa.
Peleka upum.bavu wako f.ala wewe utaugua wewe umuache Lowassa p.mbi kabisa.
Ccm wamechoka kweli hivi unaetoa habari hii ni katibu mwenezi wa chadema au umehongwa upotoshe umma wasije ifakara. Tulieni magamba mbona mnalia sana
uwanja aliohutubia magufuli juzi ulio ktk benk ya nmb wameona kuwa mdogo, ivyo lowassa atakuwa uwanja ulio ndani kambi ya nyumba za kampuni ya sukari, ni uwanja wa wazi na mkubwa.
kwa wale wenyeji wa Ruaha, Congo, Manyasini, K2, Nyamvis Karibuni Hapa.
Nimejaribu kuwauliza validity ya hizi habar,wanasema imetangazwa kwenye T.V sasa me sijaweza access hyo T.V tena wamenambia alianguka Tabora,na jana alizuiwa kuongea,nikasema jamani anayeumwa ni Marando,wakasema ni EDO,nikaona nisimalize chai yangu ya vitumbua vya IFAKARA
atahutubia hapo saa ngapi?maana hapa Ifakara inasemwa na watu hatafika kwakua ANAUMWA...ndo habar zilizozagaa hizo
We nae ni gamba dalili zote unazo
Mimi nimewaskia watu wakisema,nimeshindwa kuwakatalia au kukubaliana nao kwakua hata ratiba ya UKAWA sijaiona
Hilo gamba bobevu hapo juu linajiita Mkorogo sijui nini.... mnalipa kiki ya bure tu. achaneni nalo wakuu. Limetumwa na Mkusanyiko wa Mapunguani toka Lumumba kuja kukatia watu viuno hapa likijua linaweza kuwatoa watu kwenye Reli..!!!
BACK TANGANYIKA
Mi nimesikia haendi ifakara maana kaugua gafla
Hapa Ruaha Lowassa Atakuwa Saa9 Alasiri Ndo Anamalizia Ktk Uwanja Wa Center K2, Jiran Kabsa Na Nyumba Yangu Hapa Block5
Wewe ni punguani wa bei rahisi tu huna lolote nimekufuatilia tokea mwanzo umeuliza ukajibiwa Lakini bado tu unaendelea kuandika upum.bavu wako unauliza eti Lowassa ameanguka Tabora?hata sielewi kwanini unanitukana,soma posts zangu nimemtag mpaka Tumaini Makene, nimesikia watu wakisema Edo haji Ifakara wanasema anaumwa,nimeuliza hapa jamvini kupata uhakika wa habar hizi,hebu rudi page ya kwanza usome yooote niliyoyaandika,usiwe huna adabu kiasi hiko,inaonesha wakat unazaliwa ulitanguliza MIGUU badala ya kichwa,au ulilala na wazaz wako kwa muda mrefu chumba kimoja....kuwa na adabu hapa JAMVINI,mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! chongchung
Wewe ni punguani wa bei rahisi tu huna lolote nimekufuatilia tokea mwanzo umeuliza ukajibiwa Lakini bado tu unaendelea kuandika upum.bavu wako unauliza eti Lowassa ameanguka Tabora?
Mkutano wa Tabora umeisha jana kama sio unafki na umbea wa kike ni nini? Unalazimishia na kukuza uvumi ambao umeuanzisha mwenyewe ili kuwakatisha watu tamaa nakwambia tena wewe ni mpu.mbavu, pi.mbi, punguani zero kabisa nyumbu.

punguani wewe unauliza tetesi gani?kwahiyo umeleta sheria mtu akisikia tetesi asiulize, kweli wewe MPIGA KURA WA SENGEREMA YAANI MSENGEREMA......
punguani wewe unauliza tetesi gani?
Nimekuuliza mkutano wa Tabora uliisha jana?
Mbona mkutano uliisha mda mrefu na hakuna Habari ya Lowassa kuanguka eti Lowassa amezidiwa Dar amelazwa ameshindwa kuhutubia jana?
Wewe ni lame retarded Lunatic.