Kumekucha, kutoana akili..!!

Kumekucha, kutoana akili..!!

Papupi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,029
Reaction score
3,245
Ni Alhamis nyingine kwa majira ya Afrika Mashariki, ni siku mpya nyingine iliyoanza kwa mawingu na kimvua kwa mbali kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam

Basi hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama na kutuwezesha kupigania pumzi nyingine

Vivyo hivyo aende kutubariki katika siku ya leo na akabariki kila kazi ya mikono ya mmoja wetu.

Naomba niwatakie kazi njema katika kulijenga Taifa letu, mie narudi kulala nikiamka nitalipaka rangi
 
Ameen mkuu
 
Mkuu wewe lala tu! Usingizi pia ni sehemu ya ujenzi wa Taifa!
 
Back
Top Bottom