Kwa hakika niko jimboni Kalenga kipindi cha lala salama kampeni za uchaguzi mdogo, CCM, Kijana anaangushwa na uwezo mdogo wa kujieleza na kuyajua kwa undani matatizo ya wana kalenga kwa kweli kama akipita basi atakuwa amebebwa na chama lakini uwezo hana, CHADEMA Dadad anajitahidi kumbe wanawake nao wanaweza,anayajua matatizo ya wanakalenga yanayowakabili mfano tatizo noti mbovu za shs 500 amelieleza vizuri kweli Tatizo la uduni wa elimu shule za kata amelielezea vizuri kweli Tatizo la uhaba wa soko la ulanzi amejitahidi kulieleza vizuri kweli Tatizo la watoto wa wakubwa kubebwa japokuwa uwezo hawana kama huyu mpinzani wake mtoto wa Mgimwa ambae hajui kabisan kuamka bila chai mwezi mzima amelieleza vizuri kweli Kwa hakika wana kalenga wanatarajia kupata mwakilishi mzuri ambae anayajua matazizo yao kiundani huyu dada wa CHADEMA, ki ukweli wanakalenga hawatajuta kumchagua mgombea wa CHADEMA #