Kumekucha:Jamaa kampa mimba changudoa sugu

HII NI CHAI NYEPESI YA KWENDA KULALA USIKU KABISA.

MARA ANA MKE NA WATOTO WA3, OOOH...! ATALEAJE HUYO MTOTO WA TANO NAKATI TAYARI ANA WATOTO WA4?

DUUUH!...? CHA KUSHANGAZA BADO TU WAJINGA WATAPATIKANA HAPA KUCHANGIA HUU UPUUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamuita mwenzie muislamu jina wakati hata yeye mkristo jina. Hayo ya kujichubua hadi kucha hakuyaona anapoenda kumla sasa hivi ndio anayaona? Hivi wanaume mnapata wapi ujasiri wa kwenda kulala na mwanamke ambaye unakiri hata wewe kuwa ni malaya halafu unalala nae bila kinga? Mtatumaliza na maradhi nyie watu khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetulia zako ndani ukijua una mume kumbe una furushi. Haya mafurushi sijui ile laana ya Eden inajijumlisha
 
Kavunja mkataba anaejizuia mimba mwanamke kamlengeahea
Anamuita mwenzie muislamu jina wakati hata yeye mkristo jina. Hayo ya kujichubua hadi kucha hakuyaona anapoenda kumla sasa hivi ndio anayaona? Hivi wanaume mnapata wapi ujasiri wa kwenda kulala na mwanamke ambaye unakiri hata wewe kuwa ni malaya halafu unalala nae bila kinga? Mtatumaliza na maradhi nyie watu khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anakatabia kakula Malaya lakini anakafamilia ka,uri mke na watoto 3 mkewe mchamungu balaa ,ila jamaa ndo kapinda .

Sasa juzi kati Malaya moja nguli tena limama limemwambia linamimba yake jamaa akalitumia laki litoe limemrudishia na hell ya kutolea eti jiandae kuwa baba.Jamaa ni mkristo hili shangingi lililojichibua Hadi kucha ni muislamu jina ,jamaa anawaza hayo malezi ya magomeni na maadili ya siyo ya kikristo imekaaje ,istoshe Lina watoto wanna huyu watano jamaa anasema ntawatengaje .
Huyo mwanamke siyo malaya laiti kama angejua huyo n Malaya angetumia condom akubaliane tu na hali alee mtoto ajae. Njia ya kutoa mimba siyo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamuita mwenzie muislamu jina wakati hata yeye mkristo jina. Hayo ya kujichubua hadi kucha hakuyaona anapoenda kumla sasa hivi ndio anayaona? Hivi wanaume mnapata wapi ujasiri wa kwenda kulala na mwanamke ambaye unakiri hata wewe kuwa ni malaya halafu unalala nae bila kinga? Mtatumaliza na maradhi nyie watu khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ujue sometimes ile kuvuliwa nguo na mrembo unaona ukivaa mpira hutapata uroda vizuri
 
Hakuna moment ya kingese kama ile moment umemtia mimba mwanamke ambaye huna vibe nae kihisia halafu anadai hatoi mimba. Ile hali inakera kupita maelezo!
 
Back
Top Bottom