Kumekucha:Jamaa kampa mimba changudoa sugu

Malaya mzoefu a.k.a Malaya Konki hua anapata mimba? Nafikiri nawe ulikua na hamu ya kuanzia thread ndo ukaamua kua na UJINGA huu
Anyway asante kwa kushiriki
 
Mada nyingi sana zimekuwa za kuficha chuki ya dini
Huko tunakoenda naona ni kubaya sana


Sent from my SM using Tapatalk
 
Mimba sio tatizo,tena watoto ni baraka inabidi afurahi tu;kibaya ni kupata maambukizi ya magonjwa yasiyotibika.
 
Basi mkiletewa matokeo ya huo uroda msianze kugeuka mbogo
Mimba anaamua mwanamke ,unampaje limimba lako mtu anaekununua unaanzaje mfano,mungu mwenyewe alifanya gharika kuua kizazi kichafu cha ma mijusi
 
Mimba anaamua mwanamke ,unampaje limimba lako mtu anaekununua unaanzaje mfano,mungu mwenyewe alifanya gharika kuua kizazi kichafu cha ma mijusi
Ndio maana nimeuliza unaendaje kulala na mwanamke unayemjua ni Malaya sugu bila hata kuutumia kinga?
 
Asisingizie dini yeye apime kibendi kama ipo ajiandae kulea.Kweli mimba inaogopewa kuliko ngoma.
 
Back
Top Bottom