kumekucha bundle za Dent ... makato M..pesa

kumekucha bundle za Dent ... makato M..pesa

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
1,099
Reaction score
1,055
asalaleeee tulichukua bandke kule Dent sasa tunapokea sms za makato kutoka M....pesa

tazama mwenyewe hapa chini
IMG-20190629-WA0010.jpeg
 
Nawaletea link ya 8000 hakuna makato yeyote hizi pesa ni bit coins mswe nashaka.
 
WtF........

Hahah kuna mwana alinipa link nikadownload kale ka app nikasema ngoja bundle la voda nililojiunga liishe ndo nimwemwereke na hii offer kumbe msiba wa kichina.

Asante JF sio muda mrefu nilikuwa nijinunulishe hii offer ila sasa app yenyewe naifutilia mbali
 
Hujui kinachoendelea kaa kimya
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Mwana Kulilonda, Mwana Kulipata
 
Back
Top Bottom