Kumejiri nini miss world | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumejiri nini miss world

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana kinyonga, Nov 7, 2011.

 1. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf,ningependwa kujuzwa nn kilijiri pande za london jana usiku,miss tz aliwakilisha vp taifa.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hamna kitu,,, aibu tupu,wa mia nangapi cjui,,,,?miss world z from venezuela
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  na uzuri wote ule?
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtoto m-biiiiiiiiiiiiiichi kaukwaa u-miss! Ana miaka 22 tu,mkubwa.Wa kwetu kupitia tv wanatia mauongo,oh,nilidhani sipo kwenye list baadae wakaniambia nipo kwenye list.Warembo wa huko majuu wana IQ kubwa wa uelewa wa mambo.Zile enzi mtu mmoja anaangalia tv halafu anatuambia kuwa nahisi sehemu flani kutakuwa na jambo flani zimeshapitwa na wakati. Sasa ni globalization,kila kitu kisafi na kichafu tunaviona.
   
 5. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Seriously, mlitegemea atashinda? Muache kufuatilia huu upuuzi. Bure kabisa
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  Wastage of time.hawashndi ng'o hawana vigezo
  na huko dunian vigezo na mashart huzingatiwa
   
 7. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawa wakwetu huwa wanakitembeza kwa majaji eh?
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Laana ya Nungwi!
   
Loading...