kuna bwana mdogo mmoja wa miziki hii ya kizazi kipya,nimemsikia anasema eti "kwa wajanja kumegewa ni siri ya ndani" kweli???!is he serious kweli?anaongelewa kumegewa my wife wangu,mama ya watoto wangu au kidemu tu?
ebu hawa watoto wawe serious kidogo.wacha kabisa habari ya mama watoto kumegwa halafu kufa kisabuni eti "ujanja"!!!
nitam ufoo saro mtu hadharani!!!!
kuna bwana mdogo mmoja wa
miziki hii ya kizazi kipya,nimemsikia anasema eti "kwa wajanja kumegewa
ni siri ya ndani" kweli???!is he serious kweli?anaongelewa kumegewa my
wife wangu,mama ya watoto wangu au kidemu tu?
ebu hawa watoto wawe serious kidogo.wacha kabisa habari ya mama watoto
kumegwa halafu kufa kisabuni eti "ujanja"!!!
nitam ufoo saro mtu hadharani!!!!
Kuna maswala mengine kuwa na majibu sahihi kabla ya tukio ni ngumu.
unashangaa na ukali wako wote huo kwenye thread, ile tu kumfumania unazimia, Unakuja kuzinduka wife ndio anakupepea. wakati unajiuliza nini kimetokea ameshakufix siku nyiiiiingi!!!!!!! Waaiiii!
ukimaanisha nini mdau?!
me hao wazee wazamani naona mambo ya kugongewa hayakuwepo ndio maana wanaongea hivyo.ingekuwa dunia ya sasa wasingethubutu
Kuna maswala mengine kuwa na majibu sahihi kabla ya tukio ni ngumu.
unashangaa na ukali wako wote huo kwenye thread, ile tu kumfumania unazimia, Unakuja kuzinduka wife ndio anakupepea. wakati unajiuliza nini kimetokea ameshakufix siku nyiiiiingi!!!!!!! Waaiiii!
Ukishindwa kuifanya ni siri ya ndani ujue wewe sio mjanja kwa mujibu wa hao wazee wa zamani.
Aha aha ndio hvyo mkuu,tena mjini mtaji kiuno tu
Kwa hiyo wewe ukigongewa mkeo utapita mtaani ukitangaza?
Kumegewa mkeo ni aibu kwako na ndo maana akasema ni siri ya ndani meaning sio kitu cha kuhadithia watu!
Kwa hiyo mleta mada, unataka kufanya matangazo ukimegewa mkeo?!?! Umefanya analysis juu ya madhara hasi na chanya ya wewe kutangaza?!?!