ukiwa km mwanaume rijali sidhani km utajiuliza mara mbili, ukioa, mwanaume heshima yako kubwa inategemea sana na tabia ya mkeo, km mkeo alishawahi megwa na friend wako wa karibu hadhi yako mbele za wanaume wenzio itakuwa ndogo sana. amini usiamini mwanamme anaweza akawa na wanawake hata wanne nje ya ndoa lkn akisikia yule mke wake kamegwa na mtu, kweli hapatakalika talaka lazima itolewe, kwa mwanamme lile tunda ukioa lapaswa kuwa lako na si mtu mwingine sasa wewe unataka oa mwanamke ambaye rafiki yako anamjua kila kitu, alilimega akalitwaa wakapeana kishkaji wakisema tutwae tule wote, hili tunda la kati tulile nje ya ndoa hahaa jamani mimi ndo maana sitaki kumega nje ya ndoa
lol, bora niwe makini eehFrom personal experience, ni rahisi zaidi kwa jamaa (mwanaume) kummega mke wa mtu kama aliwahi kummega zamani (kabla huyo mwanamke hajaolewa).
Kwa hiyo mshkaji wako aliyewahi kujivinjari na demu ambaye sasa ni wife wako anaweza "kukumbushia" ikawa taaabu.....
ukiwa km mwanaume rijali sidhani km utajiuliza mara mbili, ukioa, mwanaume heshima yako kubwa inategemea sana na tabia ya mkeo, km mkeo alishawahi megwa na friend wako wa karibu hadhi yako mbele za wanaume wenzio itakuwa ndogo sana. amini usiamini mwanamme anaweza akawa na wanawake hata wanne nje ya ndoa lkn akisikia yule mke wake kamegwa na mtu, kweli hapatakalika talaka lazima itolewe, kwa mwanamme lile tunda ukioa lapaswa kuwa lako na si mtu mwingine sasa wewe unataka oa mwanamke ambaye rafiki yako anamjua kila kitu, alilimega akalitwaa wakapeana kishkaji wakisema tutwae tule wote, hili tunda la kati tulile nje ya ndoa hahaa jamani mimi ndo maana sitaki kumega nje ya ndoa
m/ume ndio anamega na m/mke anamegwa!JP, kwanza tuweke jambo fulani sawa. Je, katika mahusiano anaemegwa ni mwanaume au mwanamke? Mi nadhani ni mwanaume. Think about it. Whose part of the body disappears into the other's?
Let's just give women the upper hand on this one. Wao ndio wanaomega!
JP Kwangu hii ndiyo ilikuwa/na mpaka sasa ndiyo sababu ya kukataa kumega msichana yeyote au mke wa mtu awaye yeyote. Moyoni niliazimia kwamba sitaki
1. Kulinganisha mapenzi atakayonipa msichana/mwanamke yeyote na yale atakayonipa/anayonipa mke wangu
2. Awepo msichana yeyote/mwanamke yeyote ambaye atajidai kuwa aliwahi kulala na mimi zaidi ya mke wangu.
JP ninashauri kwamba isiwe tu ni kwa njisia fulani bali ambaye hajaoa au kuolewa asimege au kumegwa mpaka siku ya kufunga ndoa.
Aliyeoa au kuolewa asimege au kumegwa nje ya ndoa. NAKUHAKIKISHIA INAWEZAKANA ni suala la kuweka nidhamu katika jambo hili. Na kwa kufanya hivi utaifurahia ndoa yako kwani inakuwa kama PARADISO. Kumega au kutokumegwa siyo kama chakula ambacho ukikosa unakufa, kinachotakiiwa ni kuvumilia na kusubiri muda wake muafaka na kwa mwenzi wako wa maisha.
Nawasilisha