Kumdanganya msichana

Kumdanganya msichana

elishababuh

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
30
Reaction score
0
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?
 
Sisi tuliozoea kamchezo kabording hatuwezi hata kujibu!!!! mnayajua nyie watafuta papuchi!

khe khe khe khe
 
Mi naonaga huu ni ufalah sana afu nachukia mbaya, kudanganya kuangalie na mazingira...
kuna boya mmoja tulifanya business nikampa hela zangu afu kanidanganya jina na pua kabana naitwa "muddy" siku naenda kumtafuta hapo naambiwa hamna mtu anaitwa hivo huyo jamaa anaitwa sijui nyasamaki huko pambafff zake na hapo kumbe sio kwao agggrrr wakati siku hiyo alikuwa anajimwaga mwaga kwenye makochi kumbe ya watu
nilichukia nlivompata nlimuuliza swali moja tu "ulihisi nakutaka" akabaki na aibu zake mxyuuuu....
 
Kwanini udanganye jina wakati akikuona sura haidanganyi
 
yamekusibu nini??? habar za kuumiza akili na mambo ya kufikirika siwez ila kwa nini udanganye hujui njia ya mwongo ni fupi ndo mana na nyie mnadanganywa mkiambiwa kweli mnapinga shabash!!!!
 
Balehe mbaya........

Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?

Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?

Please jibuni kwa makini

Hv kipi kinauma zaid japo yote yanauma lakini lipi zaidi;ukijua Rafiki yako anatembea na Mama yako au Rafiki yako anatembea na mke wako?
 
kaka mmoja UD miaka ya 04-06 ....alikuwa na majina 5 akienda bibo-j1, akiwa club J2, darasani J3, mtaani J4 na id J5....madem walijichanganyaje?
 
hapo itabidi uvae gauni na upake vipodozi vyote ili ukifika binti aseme siyo wewe anamuulizia mwingine!!!!
 
eti unamdanganya kwenu..... looo afu mama anaenda kumfungulia...... i smell dust on ur age
 
Alipajuaje kwenu wakati ulimdanganya? Ulikuwa unataka kupita naye wapi? Utawadanganya na kupita na wangapi?
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?
 
eti unamdanganya kwenu..... looo afu mama anaenda kumfungulia...... i smell dust on ur age

Yaani humu ckuhiz kunapoteza maana kabisa
Ndo maana huwa napita tu
Nachagua uzi na uzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom