kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Kumchukia katumbi Kongo ni sawa sawa na kuchukia maendeleo ya Kongo
Pamoja na kumchukia kumbukeni yeye ndo alifanya rais kabila kuondoka madarakani licha ya kuteseka saana
Pamoja na kumchukia katumbi kumbukeni kipindi cha utawala wake akiwa gavana alifanya wakatange na wakasai kuishi pamoja watu ambao walikuwa madui wa kufa mtu leo kama wakasai wako katanga ni kwasababu ya katumbi
Pamoja na kumchukia katumbi kumbukeni kipindi cha utawala wake kama katanga kuna barabara za lami ni kwasababu yake
Kumbukeni kipindi cha utawala wake wanafunzi walisoma bure katanga
Pamoja na kumchukia saana kumbukeni kama katanga kuna madaraja makubwa ni yeye ndo alijenga kipindi akiwa gavana
Pamoja na kumchukia saana yeye ndo aligeuza village kashobwe kuwa village tourist
Pamoja na kumchukia saana yeye ndo alijenga hospitali pital kubwa na nzuri zote unazo zijua katanga
Pamoja na kumchukia saana yeye alijengauniversity kubwa katanga
Pamoja na kumchukia saana kumbukeni kama mpira wetu unaheshimika nje saana yeye m
Kachangia kiasi kikubwa
Pamoja na kumchukia saana kumbukeni yeye ndo aliwasaidia wachezaji wengi wakongo kupata nafasi katika timu za Ulaya
Ni mengi saana katumbi alifanya akiwa gavana
Sasa alafu Anatokea mtu ana mlinganisha katumbi na huyu bwana ambaye alitudanganya kuwa baada ya miaka 5 yake Kongo itakuwa German ya Afrika
Tuko wapi leo