Mkataa kwao ni mtumwa.
Hata mzee wa msoga alikuwa akienda msoga kila wikendi. Hata baba wa taifa alikuwa akienda "nyumbani kwa taifa" kila mara. Hata Mizengo nae hakupasahau kwao hadi zikaanzishwa hoja.
Ila tuseme ukweli mimi naona kwa upade wa safari huyu ana afadhali maana ni humu humu ndani ya nchi, mzee wa msoga yeye alipita hata vipimo vya kawaida vya kusafiri nje ya nchi, alifikia wakati anabadili ndege juu kwa juu kama daladala