Kumbukumbu, Ziara za Magufuli kuelekea Mwanza

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,161
3,157
Nafahamu Tanzania ni muunganiko wa mikoa mingi lakini tujikumbushe hii ni mara ya ngapi Rais Magufuli anakwenda Mwanza, Geita, hatimae Chato?
 
Akiwa dar "bomoa hata nyumba ya wazir, akiwa mwanza pawe na human face kwakuwa hawa ndio walonipa urais" mzee wa ajabu sana huyu
 
Mkataa kwao ni mtumwa.
Hata mzee wa msoga alikuwa akienda msoga kila wikendi. Hata baba wa taifa alikuwa akienda "nyumbani kwa taifa" kila mara. Hata Mizengo nae hakupasahau kwao hadi zikaanzishwa hoja.

Siasa zisimfanye mtu asahau kwao
 
Ila tuseme ukweli mimi naona kwa upade wa safari huyu ana afadhali maana ni humu humu ndani ya nchi, mzee wa msoga yeye alipita hata vipimo vya kawaida vya kusafiri nje ya nchi, alifikia wakati anabadili ndege juu kwa juu kama daladala
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom