Mke wa mtu sumu Mdogo wangu...siku ukikutwa na huyo mke wa mtu huko Zanzibar ukiwa unakaribia kukata roho kwa kupigwa shaba utanikumbuka utasema dah kweli brother felakuti alinionya..
Ingekuwa ha bleed na kunya kama wengine ungesema ni matawi na wa tofauti. Ila kwa vile kila mwezi anabandika Always na anakata gogo linalonuka, mzee baba huyo ni kidampa tu kwa waliombato.
Wewe unazuzuka kwa vile hujampata. Tena ukute hata kipochi manyoya chake kinatoaπππ
Mkuu usije ukawa unamzungumzia huyu aliyentesa namm kihisia! Anyway haya majina kuwanayo makin sana ni km yana ulimbo ulipenda hutoki ndugu yako nmeacha tu Kwa maslahi mapana ya maisha yajayo ila moyo unaunguaπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ή