Kumbukumbu ya Nyerere au ya JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbukumbu ya Nyerere au ya JK?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mysteryman, Oct 14, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nafuatilia maadhimisho ya kumbujumbu ya kifo cha mwl nyerere huko butiama bt nimeshangaa kuona mtoto mmoja kati ya wale pale uwanjani kashika picha kuubwa inayomwonyesha jk akitabasamu nikajiuliza ni sahihi picha yake kuonyeshwa pale ili iweje? Au ndo mauzo??
   
Loading...