Kumbukumbu ya miaka 6 tangu Muammar Gaddafi auawe

Kumbukumbu ya miaka 6 tangu Muammar Gaddafi auawe

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,763
Reaction score
21,512
It’s exactly 6Yrs since Muammar Gadaffi was Killed

Muamar Gaddafi's Prophecies:

"I will not go into exile to any foreign country. I was born here in Libya, and I will die here. This country was a dessert, and I turned it into a forest, where everything can grow.
No one Love this land more more than its citizens. If Europe and America tells you that they love you, be careful. They love the wealth of your land. The oil and not the people. They are helping you to fight against me but, it will be more wise for you to fight against them because they are fighting against your future and progress.

My message to you the people of Libya is, they are helping you to kill me but you will pay the price because you will suffer. And my message to you America and Europe is, you will kill me, but be ready to fight a never ending TERRORISM.
Before you realise your ignorance, terrorists will be hitting you at your doorstep."

It's good we look at these 16 REAL REASONS WHY COL. GADDAFI WAS KILLED:
1. There is no electricity bill in Libya, electricity is free for all its citizens.
2. There is no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens are at a 0% interest by law.
3. Home is considered a human right in Libya. Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a
home.
4. All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinars (US$50,000) from the government to buy their first apartment.
5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi, only 25% of Libyans were literates. Today, the figure stands at 83%.
6. Libyans taking up farming as a career, they received farm land, a farming house, equipment, seeds and livestock to kick- start their farms – all for free.
7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they needed in Libya, the government funded them to go abroad for it.
8. In Gaddafi's Libya, if a Libyan buys a car, the government subsidized 50% of the price.
9. The price of petrol in Libya is $0. 14 per liter.
10. Libya has no external debt and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally.
11. If a Libyan is unable to get employment after graduation, the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
12. A portion of Libyan oil sale is credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
13. A mother who gave birth to a child under Gaddafi, received US $5,000 as child benefit upfront.
14. 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15
15. 25% of Libyans have a university degree
16. Gaddafi carried out the world’s largest irrigation project, known as the Great Man- Made River Project, to make water readily available throughout the desert country.
If this is called "Dictatorship", I wonder what type of Leadership Democrats have!!
Share this to remember Gaddafi
 
Hivi nikikupa milioni 100 kwa mfano halafu nikakupangia cha kufanyia, utajisikiaje kwa mfano??
Binadamu ukimnyima uhuru wake the rest hayana maana kwake, siku akiliamsha hakumbuki mema hata kidogo ... ndo maana demokrasia ni muhimu... ukionea watu huku unawapa neeema ni suala la muda tu hawatakumbuka neema zako, bali uhuru wao
 
Natamani mlibiya asome huu ujumbe saa hii. Hakika atamwaga chozi kwa ujinga walio fanya . All in all , africa tuamke , bado hatujachelewa ila tunavyo kaa nakuridhika na misaada yao ndio tunazidi kudidimizwa na kuachiwa umasikini tu.
 
Nakumbuka Col. Muamar Ghadafi awali kipindi cha maandamano pale Mjini Sirte aliwaita wale waandamanaji kuwa wao ni PANYA ila sasa cha kushangaza baada ya maandamano ya kumpinga kupamba moto akaikimbia ikulu kule jijini TRIPOLI akawa anaishi chini ya CALVERT la kupitishia maji taka ambapo hayo ndio makazi halisi ya PANYA yani yeye mwenyewe ndio aligeuka kuwa PANYA.

*Sadam Hussein ni Rais wa Kuwait*
 
Ww ndio ukapimwe mkojo alikuwa mzuri kwa kumfadhili idi amini wanajeshi waje wauwe ndugu zetu alikuwa mzuri kwa kueneza dini ya kishetani nashukuru sana marekani kwa kutuondolea uchafu duniani yule ni gaidi kama wengi tu alipata alichokistaili shetani gadafi
Angekuwa gaidi kweli basi hata wewe hapo usige kuwepo , acha kuongea vitu usivyo vijua , unafata upepo wa maneno wewe , tumia akili yako jamaaa
 
Duh Mungu akujaalie hekima nduguyangu,usihukumu usije ukahukumiwa,Mimi ni mkristo ila siwezi dhihaki ndini zawengine na wala Kuwait's mashetani
 
Angekuwa gaidi kweli basi hata wewe hapo usige kuwepo , acha kuongea vitu usivyo vijua , unafata upepo wa maneno wewe , tumia akili yako jamaaa
Mimi nisiwepo kwani yeye ndio ananipa uhai au alidungua ndege huyo siyo gaidi
 
  • Thanks
Reactions: sab
Duh Mungu akujaalie hekima nduguyangu,usihukumu usije ukahukumiwa,Mimi ni mkristo ila siwezi dhihaki ndini zawengine na wala Kuwait's mashetani
Na hekima sana alikuwa gaidi alitesa sana watu kwa kiini macho ate anawapa elimu bure maji bure kumbe ni sehemu alipotokea tu na ndugu zake alivyouwawa ilikuwa vizuri san
 
Mimi nisiwepo kwani yeye ndio ananipa uhai au alidungua ndege huyo siyo gaidi
Angalia unavyo jikanyaga kucha za miguu mwenyewe, kwani wewe unavyo sema ni gaidi , hao aliowafanyia ugaidi hawakupewa uhai na aliye kupa wewe uhai, hebu tuliza akili utaelewa haya mambo , achana na porojo za mabwenyenye
 
Walishanyanganywa uhai siku nyingi
 
  • Thanks
Reactions: sab
Hivi nikikupa milioni 100 kwa mfano halafu nikakupangia cha kufanyia, utajisikiaje kwa mfano??
Binadamu ukimnyima uhuru wake the rest hayana maana kwake, siku akiliamsha hakumbuki mema hata kidogo ... ndo maana demokrasia ni muhimu... ukionea watu huku unawapa neeema ni suala la muda tu hawatakumbuka neema zako, bali uhuru wao
Sasa ndio wamepata uhuru walioutaka
 
Natamani mlibiya asome huu ujumbe saa hii. Hakika atamwaga chozi kwa ujinga walio fanya . All in all , africa tuamke , bado hatujachelewa ila tunavyo kaa nakuridhika na misaada yao ndio tunazidi kudidimizwa na kuachiwa umasikini tu.

No nadhani wa kujifunza ni sisi sio wao. Hiki ndicho kinaendelea hapa kwetu. Unyanyasaji utekaji na mauaji ni jambo la kawaida kabisa now days. Ukiuliza why ndugu yangu amepotea unakumbushwa flyovers, dreamliner na bombadier. Halafu unategemea mtu huyo aridhike na hayo unayoyafanya.

Ndugu mtoa hoja ningekyshauri uandike na upande wa pili wa shilingi. Andika ubaya wa Gadafi uliopelekea watu wake wenyewe wamuue. Mbona sisi hatukumuua Nyerere? Ni nani libya ya leo anahangaika kumkumbuka gadafi pamoja na nyumba hizo alizowajengea.

Hili ni somo kwa viongozi wetu sio wa Libya. Uniulie ndugu zangu alafu uniambie nikupigie makofi kwa kunijengea nyumba. Go to hell na nyumba zako
 
Back
Top Bottom